ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,289
- 22,030
Bado hajafukuzwa tuKwa kikosi cha leo Man City anatangazwa kuwa Bingwa
First eleven yetu huwa inateseka kweli kweli kwa leicester wewe leo hii unapanga second eleven.....pathetic
Bado hajafukuzwa tuKwa kikosi cha leo Man City anatangazwa kuwa Bingwa
Mtafumuliwa na chelsea .Hii timu haijielewi hata inataka nini ...
Final yenyewe Europa .
.
Haina hata mvuto daaa
Tuanzebe sio kabisaKwa timu ya leo kweli kajamaa kanataka kujenga timu tuache utani
Tuanzebe sio kabisa
Kabisa, jamaa yuko vizuri sana.Kwa timu ya leo kweli kajamaa kanataka kujenga timu tuache utani
Mbona hakuna muunganiko watu wanacheza tuWakuu hapa kuna kocha hata kama tutafungwa sosha kajitahidi mno
ACHANA NA TUANZEBE...KUNA MTU ALIWAHI KUMUELEWA HUYU VAN DE BEEK..UTOPOLO MTUPUTuanzebe sio kabisa
MAJEMBE YAKO BENCHIYaan ole anaichukia Liverpool ...
Anataka kuhakikisha Liverpool hakai top 4 ..
Kaweka majembe yote bench kwa ajili ya Liverpool ..!
Mbona hakuna muunganiko watu wanacheza tu
Nadhani ulishawahi iona second eleven ya city
Tuanzebe anytime
Haonekani kabisa leoACHANA NA TUANZEBE...KUNA MTU ALIWAHI KUMUELEWA HUYU VAN DE BEEK..UTOPOLO MTUPU
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nadhani huyo dogo anahitaji counsellingACHANA NA TUANZEBE...KUNA MTU ALIWAHI KUMUELEWA HUYU VAN DE BEEK..UTOPOLO MTUPU
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Basi siongei tenaCity ni city wale toka 2010 hawajah kuwa na timu mbovu ni rahisi kusonga mbele sisi toka 2013 tumevuruga sana mfumo kwa hiki kinachofanywa naona kuna uelekeo
MajerahaHumu kuna watu hawaelewi mpira lakini ni mashabiki.
Players wamecheza Alhamis, then Jpili, mnataka wacheze na Leo(Jumanne).
Wakipata majeraha mtampa lawama OLE.
Sent using Jamii Forums mobile app