Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Amad badobado mkuu..tumpe muda next season maybe hizi carabao,fa atazicheza sana na zitamjenga.
 
Kama Juventus hadi kufikia kuanza kwa msimu mpya wa Serie A 2021/2022 watakuwa hawajatangaza kujitoa kushiriki European Super League wataondolewa kushiriki Serie A."
184255653_160148239378327_331179188286064185_n.jpg
 
Anakuzwa mno ila sioni kama anaweza kuongeza kitu kikubwa sana kikosini. Halafu usisahau ni mchezaji wa kiingereza mwenye miaka 21 tu usiweke imani kubwa sana pia.

Tutapoteza pesa nyingi kijinga wakati hii €80M inaweza kutupatia wachezaji wawili wa maana. Kama kuna uwezekano ni kheri tupeleke €40M kwa Bayern Munich tumnunue mfaransa Kingsley Coman, 24 years old. (Release clause)

Halafu hiyo €40M nyingine twende Lille tumnunue mdachi mlinzi wa kati anaitwa Sven Bortman anaongoza jahazi la ulinzi akiwa na miaka 21 tu na wanaenda kutwaa ubingwa wa ufaransa msimu huu. Hapa tukiwa na negotiators wazuri tunaweza kumnunua hata chini ya €35M.

Mwingine ni mfaransa Jules Kounde huyu bei yake ni €60M.
 
Hata mimi nimekua nikiwaza sana kuhusu Coman.
Nna wasiwasi jamaa ni glass ila uhakika ni kwamba he is better kuliko Sancho.
 
Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Dogo bado anapiga kikosi cha U23's uko, nadhan tusubir msimu ujao maan apa naona kam mechi zilizobak kocha anatarajia kuwin zote ko anajarb kuchezesha big players waliozoea... But I think next season atapata sana nafas..
 
Hii timu haijielewi hata inataka nini ...

Final yenyewe Europa .
.
Haina hata mvuto daaa
 
Back
Top Bottom