MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 788
- 2,370
Kuna Fainal mbele.Majeraha
Haya ni mawazo negative huku ligi yenyewe ishaisha
Wachezaji nao wanachoka huwezi Cheza mechi 4 ndani ya siku 8.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Fainal mbele.Majeraha
Haya ni mawazo negative huku ligi yenyewe ishaisha
Anacheza kama dm na atm kwa wakati mmoja bila yeye kupandisha timu haipandiMatic anaonyesha kwamba utu uzima ni dawa
Hata ukicheza FIFA mnager career mode kwenye play station hivyo vitu unavielewa. Ni sawa kufanywa rotationHumu kuna watu hawaelewi mpira lakini ni mashabiki.
Players wamecheza Alhamis, then Jpili, mnataka wacheze na Leo(Jumanne).
Wakipata majeraha mtampa lawama OLE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanya una hasira mzee wa screeshotsKWELI HAKIKWEPEKI..HUYU OGS MJINGA SANA..ANATINYIMA RAHA KIJINGA SANA..NANI AKAANGALIE HAO WATOTO SASAUTADHANI WATOTO WA ARSENAL BHANA..pambaf.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We win together, we lose together.
Sas mpira udunde uko uanze kuleta maneno![]()



Bila penalt nyumbu nyie hamna kitu, ndio mana Lecester wamekula kisamvu kiroho safi.lakin mpaka kupata penalty. inamaana ni foul..
sidhani penalty zinatolewa kama peremende dukani
hii ni comment ya mechi iliyopita.Bila penalt nyumbu nyie hamna kitu, ndio mana Lecester wamekula kisamvu kiroho safi.
Si tumeshasema we win together we lose together vp tena jembeWashapigwa hawaa![]()
For sureKocha yeyote mwenye akili asingerisk wachezaji wake kwaajili ya ligi wakati ligi ili aichukue ni kuombea City apasuke games zote zilizobaki kitu ambacho hakiwezekani na huku kuna fainali ya kumpa kombe.
Mimi naona kafanya maamuzi sahihi.
Hiyo nafasi mmewashikia Chelseahii ni comment ya mechi iliyopita.
okay man u bado nafasi ya pili.
Tungoje mechi ya LeicterGame over, 3 points. City hawezi kubeba kombe kwa mgongo wetu.
FIFA UNAWEZA SANA MKUU?Hata ukicheza FIFA mnager career mode kwenye play station hivyo vitu unavielewa. Ni sawa kufanywa rotation