Yaan ole anaichukia Liverpool ...


Anataka kuhakikisha Liverpool hakai top 4 ..

Kaweka majembe yote bench kwa ajili ya Liverpool ..!
MAJEMBE YAKO BENCHI
20210511_203549.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona hakuna muunganiko watu wanacheza tu


Nadhani ulishawahi iona second eleven ya city


Tuanzebe anytime

City ni city wale toka 2010 hawajah kuwa na timu mbovu ni rahisi kusonga mbele sisi toka 2013 tumevuruga sana mfumo kwa hiki kinachofanywa naona kuna uelekeo
 
Back
Top Bottom