Wacheni uwongo wenu hapa, yn sheffield ndo anaupiga mwingi kuliko utd wkt possession ilifika mpk 80%, sema man imejiamini sn wanaona km watafunga mda wwte kitu ambacho sio vzr, aingie cavani atoe Takataka martial, na Matic pia atoke.

Prediction: man 4-1 sheffield.
Kweli 4 zimefika

Baraka majogoro hatrick
 
Hahaha Man u sio ya kuiamini hivyo
Yametimia
Sosha hajakaa kiubingwa kabisa yani mi naamini bahati ndio itambeba kuchukua ubingwa wa epl lakini si uwezo....
Nikizikumbuka nusu fainali nne anapoteza sina hamu nae kabisaaaaaa
 
Wacheni uwongo wenu hapa, yn sheffield ndo anaupiga mwingi kuliko utd wkt possession ilifika mpk 80%, sema man imejiamini sn wanaona km watafunga mda wwte kitu ambacho sio vzr, aingie cavani atoe Takataka martial, na Matic pia atoke.

Prediction: man 4-1 sheffield.
Aisee prediction imegoma
 
Nyie jamaa mmeongea sana baada ya kubahatisha kukaa kileleni.
Sasa ni wazi hamtakuja kurudi tena nafasi ya kwanza maana mechi ijayo mnanyolewa na Asanali.
 
Back
Top Bottom