Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na sijui kwanini Leicester hajashinda, angenishushie huu utopolo mpaka nafasi ya 3
 
hivi kuna siku ole karudia kikosi siku za hivi karibuni ? kwanini kila siku lazma aje na kikosi cha tofauti ?
 
Hii ndo manure tuijuayo ule ulikuwa upepo wa kisulisuli umewapitia hahaha
 
Mashabiki wa United tukubali matokeo tu. Hakuna haja ya kumlaumu Ole kwa kile kikosi, rotation ni muhimu katika kikosi. It's sad tumeshindwa kuilinda point moja kwa makosa ya beki zetu.

Sheffield walifaulu kimbinu hawakutupa nafasi ya kucheza mpira tunaotaka. Walichotufanyia ndiyo tulichowafanyia Liverpool kwa kupaki basi hadi Klopp akaishia tu kulalamika kwenye media.

Mechi kama hizi ni muhimu kushinda ila mchezo huamua matokeo yake. Mechi ya Arsenal ni muhimu kuondoka na points.

Bado nafasi ipo, tufanye upande wetu, game ya City nayo tutoke na point(s).
 
Back
Top Bottom