Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya ni matunda ya kupanga timu mawazo yako ni Arsenal sasa point tatu umeachia na Arsenal ni sare jumla ni point moja. Wakati ungelishinda leo na Arsenal sare ungejipatia ubingwa. Sasa ManCity watakuwa mabingwa
 
Msubirieni, atakuja tu baada ya game kuisha.
Asipate tabu

Screenshot_20210128-011144.png
Screenshot_20210128-011203.png
 
Cavani + Rashford + Greenwood + Martial Hawa walevi wa Gongo Eti ndio wakupe EPL Na bado mtapigwa sana bila Penalty nyie ni sawa na ENUNGU RANGERS tu.
 
Haya ni matunda ya kupanga timu mawazo yako ni Arsenal sasa point tatu umeachia na Arsenal ni sare jumla ni point moja. Wakati ungelishinda leo na Arsenal sare ungejipatia ubingwa. Sasa ManCity watakuwa mabingwa
Kocha anakwenda kulipanga lile tuanzebe la nn ss, kila likipangwa linazingua.

Unamuacha lazy boy martial amalize game wa nn ss.
 
Cavani + Rashford + Greenwood + Martial Hawa walevi wa Gongo Eti ndio wakupe EPL Na bado mtapigwa sana bila Penalty nyie ni sawa na ENUNGU RANGERS tu.
United ikiondolewa points za penati inakua ya 2.

Liva ikiondolewa points za penati inakua ya 10.
 
Kwani hakikuanza kikosi kilichoifunga liva? Kilisukuma ngozi hadi nikaiwaza jmosi.

Au ndiyo hichi hichi?
 
Aisee tuache kujipa matumaini feki kuhusu ubingwa.
OGS bado sana linapokuja suala matokeo when it matters most
 
Back
Top Bottom