Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu ilo ondoa wasi, leo ushindi ni kama kumsukuma mlevi vile.
Unajua gari letu lishawaka, hata wapinzani wetu wanalijua hilo, ndio maana hawaishi kujamba jamba.

Leo tunarudi pale kileleni, na J/Mos tunaenda kunfyonza ubongo aseno.

Cha kuombea City apoteze game zake (matumaini yangu yapo kwa Livakuku & Tottenham) apo uhakika wa kuinua kwapa upo.

GGMU.
Hahahaha kweli nyie matakataka..unaombea man city apigwe?? Mimi nilitaka nyie mubebe ligi ila saiv nawakataa..
Man City msimu huu anaweza kubeba kama sisi tukikosa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna taarifa kwamba SHIEFIELD UTD wanaweza kuwakosa wachezaji wao karibu 9 kwny mechi ya leo

Tunaweka full mkoko tunamaliza mechi kipindi cha kwanza then tunapumzisha wachezaji wetu kwa ajili ya arsenal
Fulu mkoko au fulu ukoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa fomu hii tunawaza ubingwa kweli??
premierleague-photo-2021_01_28_08_26.jpg
 
Wacheni uwongo wenu hapa, yn sheffield ndo anaupiga mwingi kuliko utd wkt possession ilifika mpk 80%, sema man imejiamini sn wanaona km watafunga mda wwte kitu ambacho sio vzr, aingie cavani atoe Takataka martial, na Matic pia atoke.

Prediction: man 4-1 sheffield.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani ni rede nin
 
Timu ipo huko mtaa wa bottom line alafu inakuja kushinda OT. kweli OT yetu tumekua shamba la bibi.

Sasa kama bottom team inatufunga nyumbani, nadhan stori za ubingwa tuziache kwanza. Mana vitoto kama hivi city huwa anavishushia kichapo heavy
Pole sana mkuu. Naona umeumia sana nafsi
 
Kitoabu keshaenda kujichimbia mashimoni huko ..tena jumamosi yuko arsenal..unaweza usimuone hadi kati kati ya mweiz wa pili huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom