Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Oooh..! Thuko on ze thop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20210128_065055.jpg
 
Nyie jamaa mmeongea sana baada ya kubahatisha kukaa kileleni.
Sasa ni wazi hamtakuja kurudi tena nafasi ya kwanza maana mechi ijayo mnanyolewa na Asanali.
Daah we acha tu. Maumivu niliyopitia jana usiku hayakuwa kawaida. Hii timu itaniua aisee.

Kimasihara tumeliwa na Sheffield[emoji35][emoji35]

Wacha tuone next game
 
Man u Ni timu yangu ila nilimla kichwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji134][emoji134]
IMG_20210128_071110.jpg
 
Washabiki wa man u walikua washaanza kupiga kelele mtaani,kelele zilikua nyingi sana baada ya kukaa hapo juu siku mbili,tayari walikua wanajiita mabingwa sasa naona kumepoa.
😂😂😂😂😂raha sana
 
Back
Top Bottom