Huyu alishaisahau Arsenal kabisa
Hasa hasa Anthony Martial, ana umri mkubwa ila anacheza kama kinda. Kwa miaka 24 kuelekea 25 aliyonayo Wayne Rooney alikuwa anaongoza jahazi bila utoto.Mkuu uwe unakubali tuu pale ukweli unapowekwa hadharani, hao watoto wana makosa mengi kila mtu anaona, hatuwezi kufika popote na hao kina rash na Martial, mpira unachezwa hadharani everybody can see.
Huwa nashangaa sana hoja ya huyo jamaa kwamba timu ikicheza vibaya ni kocha mbovu ikishinda eti wachezaji wameamka vizuriVery lame excuse, timu ikishinda ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, ikifungwa mwalimu hana mbinu.
Au kwasababu muda mwingi OLE kakaa haangaiki kama Mourinho pale touchline??
Mpeni sifa zake anazistahili.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kitu pekee anachokikumbuka Van Persie akiifikiria Arsenal ni Majeraha ya muda mrefu na red card katika mechi ya Barcelona.★ kuna muda ukipata pakujificha jifiche haswa sasa unaanza Kusifia Arse8 ambayo ina zaidi ya Miaka 10 bila kucheza UCL ★
Duuuuh mbona unawapiga spana wenzioKitu pekee anachokikumbuka Van Persie akiifikiria Arsenal ni Majeraha ya muda mrefu na red card katika mechi ya Barcelona.
Akiifikiria Man united anaona Nishani na kiatu cha dhahabu katika kabati lake.
Akivuta taswira anaona legends tu walikuwa wakimfanyia ile kazi ya kipunda pale United.
Sasa huko Arsenal atamkumbuka nani YAYA SANOGO ? DIABY ? au Johan Djourou ?
Arsenal hawana cha kujivunia karne ya 21 zaidi ya kuwa injury legends na laughing stock kama Yaya Sanogo na TakumaDuuuuh mbona unawapiga spana wenzio
kumb na nyie mna wachezaj muhim..!!Tumeshaongoza tatu bila jumapili tuna mechi na Southampton kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuwaweka kwenye risk wachezaji wetu muhimu?