Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Edinson Cavani has already scored as many Premier League goals for Manchester United (3) than Alexis Sanchez managed in his entire spell with the club

#GGMU

manutd |
IMG_20201202_113056_251.jpeg
 
★Gary Neville has questioned Jurgen Klopp's gripes about fatigue and kick-off times, claiming he's just looking for a psychological edge like Sir Alex Ferguson.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201202_112741_731.jpeg
 
Leipzig sijui kama watakubali wafungwe na wale waturuki..

Aisee we have to win this ili gemu ya mwisho tusiwe roho juujuu maana at times tumeshindwa kupata matokeo mazuri kipindi pressure inapokuwa juu sana

PSG akiwafunga na Leipzig akishinda timu 3 zinakuwa na point 9.

Game za mwisho itakuwa burudani sana.
 
PSG akiwafunga na Leipzig akishinda timu 3 zinakuwa na point 9.

Game za mwisho itakuwa burudani sana.
UEFA wanatumia sheria ya head to head pindi timu zinapolingana kialama, kama wote watakuwa na alama sawa itamlazimu Leipzig amfunge man utd magoli 6 pindi watakapokutana ili wawe mbele kwa ushindi wa magoli 6- 5.
 
hakuna cha roho juu, cha umuhimu ni kujihakikishia nafasi ya kwanza
Leipzig sijui kama watakubali wafungwe na wale waturuki..

Aisee we have to win this ili gemu ya mwisho tusiwe roho juujuu maana at times tumeshindwa kupata matokeo mazuri kipindi pressure inapokuwa juu sana
 
UEFA wanatumia sheria ya head to head pindi timu zinapolingana kialama, kama wote watakuwa na alama sawa itamlazimu Leipzig amfunge man utd magoli 6 pindi watakapokutana ili wawe mbele kwa ushindi wa magoli 6- 5.

Hapana, kama atakuwa ameshinda leo atakuwa na points 9 sawa na nyie kama ikitokea leo mkafungwa.

Hivyo atahitaji ushindi wowote ili awe na 12 points, nyie mbakie na 9.

Mkitoa draw ndo hapo mtamwacha kwa head to head.
 
Ndo maana nasema hii gemu ya leo ni ya kushinda ili tuwe na nafasi ya kuwa kufuzu na kuwa wa kwanza kwenye kundi

Kabisa, naona timu zote za Premier League zina chance ya kuongoza groups zao.

Hapo kwa kiasi kidogo unaweza kuona 3 zinaingia quarter final, assuming next round superior timu zinashinda kwa 75%.
 
Kabisa, naona timu zote za Premier League zina chance ya kuongoza groups zao.

Hapo kwa kiasi kidogo unaweza kuona 3 zinaingia quarter final, assuming next round superior timu zinashinda kwa 75%.
On paper EPL inabidi itoe finalist msimu huu..tukiacha bayern klabu za top five leagues nyingi zipo dhohof(Barca,Madrid n.k)..
 
Back
Top Bottom