Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Me niliangalia kipindi cha kwanza tu, nilipoMimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.
Nilivyo gundua Cavani yuko nje, nikajua hatushindi leo.
Nashukuru tumeshinda, heshima imerudi.
Cavani sio mchezaji wa kuanzia benchi
Tatizo co kuanzia benchi, bali tatizo ni nani anayemweka benchi, hapo ndiyo tunaposhangaa.
 
Tunacholaumu mashabiki ni consistency ndo mana huwa tunafikia kusema ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja cz hata leo tulishapoteana km co Bruno na El Matador.
Sasa hio individual contribution ni tukishinda tu? Tukifungwa hao individual wanakuwa wapi?

Tumeanza vs Rb leipzig kipindi cha kwanza bila Bruno, rashford, cavani etc na tumewashika vizuri tu na Greenwood akafunga, unafkiri ilikuwa ni individual brilliance kuwakamata Rb leipzig?

Msimu uliopita Round ya kwanza bila Bruno tuliwafunga chelsea 4, Man city, Spurs, draw na liverpool etc hakuna timu kubwa iliotufunga round ya kwanza bila pogba, bila bruno, sometime mbele anacheza james mchezaji aliotoka championship, bado unafikiri ole hana mbinu ni individual brilliance?

Mara zote mbili tulizowafunga psg uwanja wao tulikuwa na majeruhi kibao and still tukapata ushindi.

Asilimia kubwa ya wachezaji wetu hawawezi kuwa na mafanikio makubwa kama ambayo Ole anawapa, wachezaji wengi wana form kubwa sababu ole anajua awatumie vipi.
 
Huyu alishaisahau Arsenal kabisa
Asernal haina jipya mkuu...
Tangu 2017..
Record ya magoli ya James ktk eufa ni kubwa kuliko arsenal ..kkkkk

Sasa mtu kama van persi ana kipi cha kukumbuka?

Screenshot_2020-11-27-04-12-39.jpeg
 
Hakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema striker gani hapigi vichwa?

Martial anapiga kichwa huku kafumba macho..

Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,

Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,

Hata van persi analijuwa hilo,,,View attachment 1637859
mimi ni shabiki wa Martial hasa akitokea pembeni coz ana ubunifu kuliko Rashidi ambae msingi mbio,sio Martial tu anaefumba macho wakati wa kupiga mpira wa kichwa hiyo ni kila mchezaji yabi kiufupi ni kama chafya tu wakati inakuja unaiona ila kuipiga lzm ufumbe macho, kwahiyo mkosoe kwa mengine lkn sio kwa hili ambalo hata Ronaldo anafanya.
 
mimi ni shabiki wa Martial hasa akitokea pembeni coz ana ubunifu kuliko Rashidi ambae msingi mbio,sio Martial tu anaefumba macho wakati wa kupiga mpira wa kichwa hiyo ni kila mchezaji yabi kiufupi ni kama chafya tu wakati inakuja unaiona ila kuipiga lzm ufumbe macho, kwahiyo mkosoe kwa mengine lkn sio kwa hili ambalo hata Ronaldo anafanya.
Mkuu siyo kweli, martial hata akiona mpira unakuja usawa wa kupiga kichwa sometime anakwepa kidogo, Si kwamba hajui hapana ila ni mzuri sana akitokea pembeni bt nakukumbsha tu angalia ni striker gani epl bishoo na mlegevu kama martial hapo ndo utagundua kua kile ni kipaji chenye uvivu ndani yake, hata jana angekuwa yy cavani asingepiga vile vichwa
 
Edinson Cavani anaweza kukabiliwa na adhabu ya kutocheza michezo mitatu wakati FA inachunguza chapisho lake katika mtandao wa kijamii (Instagram)

Katika chapisho - ambalo lilifutwa baadaye - maneno "gracias negrito!" yalitumiwa na mfuasi wa Cavani katika Instagram akimpongeza na kumshukuru Cavani kwa uchezaji wake kwenye mechi huko St. Mary's na Cavani ali-share hiyo post. FA imethibitisha ipo katika uchunguzi juu ya chapisho hilo.
 
Tukiongeza Sancho pale mbele, ubingwa tunachukua mapema.

Chengine, Sorkjer aache kutesti mitambo.
Suala la kumuanzisha Green wood na kumuacha El Matador, huko ni kututafuta la moyoni mashabiki.
 
Tunacholaumu mashabiki ni consistency ndo mana huwa tunafikia kusema ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja cz hata leo tulishapoteana km co Bruno na El Matador.
Very lame excuse, timu ikishinda ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, ikifungwa mwalimu hana mbinu.
Au kwasababu muda mwingi OLE kakaa haangaiki kama Mourinho pale touchline??
Mpeni sifa zake anazistahili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom