inakera sana kufungwa na timu ndogo kama arsenal tatizo la leo ni pogba na kocha hivi cavani tulimchukua wa nini kama hatuwezi kumuanzisha?pogba kachemka sana leo lakini kocha hakumtoa angefanya maamuzi mapema wala asingeleta upuuzi aliofannya tumefungwa sababu ya kocha
 
huyo cavani kafanya nini mpaka aanzishwe? timu haina width kabisa, unaona hitaji la winga pembeni.
 
inakera sana kufungwa na timu ndogo kama arsenal tatizo la leo ni pogba na kocha hivi cavani tulimchukua wa nini kama hatuwezi kumuanzisha?pogba kachemka sana leo lakini kocha hakumtoa angefanya maamuzi mapema wala asingeleta upuuzi aliofannya tumefungwa sababu ya kocha
Arteta kucheza na timu za kawaida km man u
 
inakera sana kufungwa na timu ndogo kama arsenal tatizo la leo ni pogba na kocha hivi cavani tulimchukua wa nini kama hatuwezi kumuanzisha?pogba kachemka sana leo lakini kocha hakumtoa angefanya maamuzi mapema wala asingeleta upuuzi aliofannya tumefungwa sababu ya kocha
timu ndogo ndo ishakutoa kizibo
 
Ole bhana

Pogba amechoka naongea na jamaa pembeni, nasema Pogba atolewe... mara paap TUTA (msimu huu Pogba anasababisha TUTA mara ya pili kizembe tu)

Halafu anakuja kumtoa Bruno (ambaye muda wowote anasababisha kitu) na kumwacha Pogba ambaye ana ball dance nyingi kuliko kufanya kitu uwanjani
 
Back
Top Bottom