HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,129
Washamshtukia huyu 😄😄Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fan[emoji1][emoji1]
Washamshtukia huyu 😄😄Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fan[emoji1][emoji1]
Huyo ni gunners undercover agent "muda mwingi yupo Kule the gunners kuliko huku"Washamshtukia huyu [emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli leo nimeamini ule msemo wa akutukanae hakuchagulii tusi, Yaani mimi huyo nikashabikie Mirembe Fc kweli?Ndio maana nyumbu wanakuhisi wewe Ni arsenal fan[emoji1][emoji1]
Mkuu baada ya misimu miwili tunanyakua uefa na hapo nyumbuz wote wataujua ukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli leo nimeamini ule msemo wa akutukanae hakuchagulii tusi, Yaani mimi huyo nikashabikie Mirembe Fc kweli?
Over my dead body (in Manara voice) mkorea nakupa siku 3 ya kuitisha press conference na kukana hio kauli yako la sivyo kesi yako utaenda kuijibu The Heague[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kubeba kombe lolote la Ulaya? nikikosa timu si bora hata nishabikie Westham walau wao wana kombe la Europa.
Mtu yoyote akinionesha mchezaji hata mmoja wa Arsenyo ameshika tu kombe lolote la Ulaya mimi nitamuonesha Paka mwenye vichwa vitatu.
Mnaona kama utani ila jumapili arsenal mnaweza pata maumivu makali ambayo hamjawah kupata na zaid pengine hio mechi hamtokamuisahau maishani...ngoja niishie hapa!Kama ilivyotangazwa na ndugu mkorea ule mchango wa alama tatu kwa The Arsenal utaendelea, na jumapili hii ni zamu ya manjesta kutoa kama walivyoahidi
Asanteni.View attachment 2985392
Bayern Wanafelishwa sana na Uongozi Kama ilivyo tu kwa UTD.nilidhani matapeli wapo manchester united pekee kumbe hata bayern munich kuna viongozi na wachezaji matapeli, tofauti yao na sisi kwa upande wa wachezaji ipo kiteknikali zaidi.
Gnabri, choupo moting, muller, sane, goretzka, coman, dier, upamecano wote hao kwa mtazamo wangu
hawastahili kuendelea kuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza.
kwa kulifahamu hilo huenda walimuhitaji ralf rangnick si kwa sababu ya CV yake ya ukocha bali ni kwa uwezo wake wa kujenga timu. Nafikri kumkosa ralf rangnick ni pigo kubwa kwao nyuma ya pazia.
Sijui Arsenal walipatwa na changamoto gani mpaka wakashindwa kuwatoa bayern.
Lakini ndio mpira.
Umeandika kwa hisia sana, ila 5 zinakuhusu!Mnaona kama utani ila jumapili arsenal mnaweza pata maumivu makali ambayo hamjawah kupata na zaid pengine hio mechi hamtokamuisahau maishani...ngoja niishie hapa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie bado mna zaidi ya miaka 40 ya kusota jangwani, kamwe nyie mmesharamishiwa kuingia nchi ya ahadi, hiki kizazi chote cha kina Masingeli kitaishia kubeba tu misinia ya maharage na vibakuli vya Emirates, Makombe ya maana labda watakuja kubeba wajukuu au vitukuu vya kina Masingeli.Mkuu baada ya misimu miwili tunanyakua uefa na hapo nyumbuz wote wataujua ukweli
Hili bakuli la kuchangia Jambo la arsenal, nyumbuz wamesema hawana kinyongo. Watatupa ushirikiano woteKama ilivyotangazwa na ndugu mkorea ule mchango wa alama tatu kwa The Arsenal utaendelea, na jumapili hii ni zamu ya manjesta kutoa kama walivyoahidi
Asanteni.View attachment 2985392
Beki Kasemiro 🙌🏾🙌🏾🙌🏾Hili bakuli la kuchangia Jambo la arsenal, nyumbuz wamesema hawana kinyongo. Watatupa ushirikiano wote
Beki nyingi za nyumbu zipo kitandani, Evans na Jesus wanajuana
Hao wachezaji ulio wataja ni bora 2/3 kuliko wachezaji wote pale OTnilidhani matapeli wapo manchester united pekee kumbe hata bayern munich kuna viongozi na wachezaji matapeli, tofauti yao na sisi kwa upande wa wachezaji ipo kiteknikali zaidi.
Gnabri, choupo moting, muller, sane, goretzka, coman, dier, upamecano wote hao kwa mtazamo wangu
hawastahili kuendelea kuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza.
kwa kulifahamu hilo huenda walimuhitaji ralf rangnick si kwa sababu ya CV yake ya ukocha bali ni kwa uwezo wake wa kujenga timu. Nafikri kumkosa ralf rangnick ni pigo kubwa kwao nyuma ya pazia.
Sijui Arsenal walipatwa na changamoto gani mpaka wakashindwa kuwatoa bayern.
Lakini ndio mpira.
Mkuu hii game uliangalia kweli? Goal la pili unamlaumu Onana? Hukuona Evans alivopitwa pale na anajua kabaki yeye tu then kipa?Goli la kwanza kipa serious anadaka ile ilikuwa poor positioning ya kipa
Goli la pili alitakiwa kum close down maleta yeye kabaki kwenye mstari. Hakuna kipa pale
Kuna msimu United walikuwa na defense mbovu lakini wakabebwa na De gea Onana ameshindwa ku step up tafuteni kipa wa kueleweka
Poleni Sana kwa haya mnayopitiaBadala ya kupandisha kiwango chake yeye anaongeza tattoo.
View attachment 2986697