Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,977
- 46,643
Lets wait and see. Penalty awarded in this game? Yes.Kivyovyote vile,utd is going to die.
Lets wait and see. Penalty awarded in this game? Yes.Kivyovyote vile,utd is going to die.
No any penalty will be awarded,Lets wait and see. Penalty awarded in this game? Yes.
Kweli mkuu Ozil hajaisha bado anakitu kikubwa hasa kwenye final third, angesaidia sana kwenye ubunifu, ila ndo hivyo alifanya makosa yanayomgharim....Sikujua hili kwamba lilifikia hatua hii.
Kwahiyo Ozil hata kukanyaga China haiwezekani tena katika maisha yake ?.
Anyway ngoja tuwaachie wenyewe tu kwa sababu kama ni hivyo United hawawezi kufanya hiyo gambling.
But angeleta impact kubwa sana kwa timu yetu hasa upande wa kulia na asingehitaji kukimbia eneo kubwa sana uwanjani.




Aaah, James kana nafasi yake ujue. Rash akikimbia na mpira, Pogba anapiga mihatua yake ile, anachelewa, xross zinapotea.Sasa ujinga ole hachelew kumuanzisha james
Aaah, James kana nafasi yake ujue. Rash akikimbia na mpira, Pogba anapiga mihatua yake ile, anachelewa, xross zinapotea.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Unaota mkuu.Man utd 0-2 arsenal
Pressure gani sasa ?
UEFA: 3 points.Mwezi huu tunaondoka na point ngapi?View attachment 1617171
Mechi taiti sana ni ya leo. Madogo wasipozingua kwa mbwembwe kufuatia ushindi wa Uefa, mechi ya leo twaweza kujitutumua.Mechi zote ukia ha ya leo, ni kocha labda aamue kuacha pointsMwezi huu tunaondoka na point ngapi?View attachment 1617171
ole achange karata vizuri
Hatuna majeruhi Sana
Timu iko Moto kwa Sasa
Baadhi ya wachezaji wamerudi form
Aseno wachumba tu OT 
Kukosekana kwa masho leo ni ushindi kwa man u. Amini nikisemacho
Mkuu hata Leicester walikuwa wachumba emirates stadium lkn wakaondoka na ushindiMechi ya Leo tuna kila sababu ya kutoka na 3 pnts !!!
ole achange karata vizuri
Hatuna majeruhi Sana
Timu iko Moto kwa Sasa
Baadhi ya wachezaji wamerudi form
Aseno wachumba tu OT
My prediction line up
David
AWB, Victor, Harry , Luke
Scott,Fred Paul
Rashy Edinson Bruno
Let's do it
#GGMU![]()