True..niliangalia mechi yao ya juzi na Villa,huyu Van Anholt ndo aliyeonesha kidogo uhai
Huyu Van Anholt ni kwenye cross na long range Shots ni wa kuchunga sana uzuri atakuwa upande wa Wan Bissaka na Daniel James hivyo huenda asipande kuhofia Daniel James asipate upenyo wa kukimbia.
 
★Duuh acha tuone leo ila sina shaka na Kikosi changu ila wakipigwa tena itaniuma kama majuzi nilikuwa na hasira nusra nilale nje nkakumbuka hawajui ninayoyapitia niache ujinga nikazama ndani kulala huku namawazo kama Pango,Msosi na Gas vimeisha kwa wakati mmoja
Possibly ataanza leo kwa sababu midfield zetu na defence hawana speed na Christian Benteke hayupo.
 
★Kwani leo D.James ataanza?★
Huyu Van Anholt ni kwenye cross na long range Shots ni wa kuchunga sana uzuri atakuwa upande wa Wan Bissaka na Daniel James hivyo huenda asipande kuhofia Daniel James asipate upenyo wa kukimbia.
 
★Kuna mpya nimeipata sehemu

Manchester United have reached an agreement to sign 17 year old Real Madrid left back Alvaro Fernandez Carreras.★

manutd |
IMG_20200716_171636_889.jpeg
 
★Duuh acha tuone leo ila sina shaka na Kikosi changu ila wakipigwa tena itaniuma kama majuzi nilikuwa na hasira nusra nilale nje nkakumbuka hawajui ninayoyapitia niache ujinga nikazama ndani kulala huku namawazo kama Pango,Msosi na Gas vimeisha kwa wakati mmoja
Dah, pole sana mkuu.
 
★Shid Man u upande wa Tetesi naikubari asee,kuna muda huwa nawaza huenda media zinavumishaga tu ili ziuze maana utakuta Manchester willing players wanafika 12 mpaka unajiuliz hivi wanataka watengeneze timu mbili
Sijajua kama ni official, but jinsi tunavyowapa nafasi madogo wa academy.

Inasaidia sana young talents waone Man united ni sehemu nzuri kwa maendeleo yao.
 
I hope leo Man u hawataniangusha , maana tokea mechi ya southampton yaani Machungu hayajaisha. Ila sikuhizi sina wasiwasi na front + midfield yetu, Ila tatizo kule kwenye defence bwana sielewi wanakaba kwa system gani. Yaani kiasi kwamba nikiona tu timu pinzani inapeleka mashambulizi huwa naanza kufirikia tu Maguire , Lindelof au Degae wanaweza kufanya kosa na kuruhusu goli. Anyway naitakia United ushindi mwema.
 
Back
Top Bottom