Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Manutd vs Chelsea nani ana mwelekeo kutoka kwa wataalamu wa soka!
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
16 unbeaten runKWAHIYO TUMEKUBALIANA KUWA MANCHESTER UNITED NI BAISKELI YA KUNOLEA VISU INAPIGA KELELE SANA LAKINI IPO PALE PALE .
Nimeiposti sasa Mkuu ndio saa 6 hii.
Subiri uilambe wewe uliyezoeaTulia leo ulambe lolo
Cheltako wataisoma nambaMan United fixtures
Cristal Palace, West Ham & Leicester
Chelsea fixtures
Liverpool & Wolves
Leicester fixtures
Sheffield United, Tottenham & Man Utd
Kama wewe ungechagua fixtures gani? Mbio za top 3 & 4 zinazidi kuwa tamu
Cheltako wataisoma namba
Hapo kwa Chelshit tuhesabie wolves tu cz liverfool atamwachia hyo game, infact Man u atamaliza wa 3 na Chelshit itamaliza ya 4, hyo Leicester itabd ikapambane kombe la saizi yake co kwenda kugawa pointi ucl.Man United fixtures
Cristal Palace, West Ham & Leicester
Chelsea fixtures
Liverpool & Wolves
Leicester fixtures
Sheffield United, Tottenham & Man Utd
Kama wewe ungechagua fixtures gani? Mbio za top 3 & 4 zinazidi kuwa tamu
Chelsea kwenye hiyo fixture yake on paper naona ana uwezo wa kupata point 2-3 na sio zaidi ya hapo..lakini kwenye mpira maajabu hayaishiMan United fixtures
Cristal Palace, West Ham & Leicester
Chelsea fixtures
Liverpool & Wolves
Leicester fixtures
Sheffield United, Tottenham & Man Utd
Kama wewe ungechagua fixtures gani? Mbio za top 3 & 4 zinazidi kuwa tamu
Dogo usitupangie sisi tunamaliza ligi nafasi ya tatu mtake msitake.Mkishinda game yenu na Palace, Wolve wanakuwa rasmi out of top 4 race, watabaki kupambania Europa
Nyie mtakuwa mmejihakikishia na. 5 hata mambo mengine yakienda kombo
Tunapaswa kuwa makini sana upande wa John Van Anholt,Bounce back day?
Yale machungu ya 2-2 dhidi ya Soton bado hayajanitokea
GGMU,Let's take those 3 points
Chelsea kwenye hiyo fixture yake on paper naona ana uwezo wa kupata point 2-3 na sio zaidi ya hapo..lakini kwenye mpira maajabu hayaishi
Leicester ngoma ngumu hiyo
United fixture iko poa..uwezo wa kushinda zote upo..