Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Umemaanisha nn kuandika (IN) na (FIT)Fosu-Mensah (IN)
Scot (IN)
Greenwood (FIT)
GGMU
Umemaanisha nn kuandika (IN) na (FIT)Fosu-Mensah (IN)
Scot (IN)
Greenwood (FIT)
GGMU
Sijawahi kuku quote lakini leo ndio mara kwanza na ya mwisho kama utanijibu kwa ufasaha swali hili!Taahira peke yake ndiyo anaweza amini Man utd inafungwa![]()
We don't deserve top four. Turidhike na nafasi ya 5.Kwa mpira huu top 4 tuisahau
Tumerudi kama tulipoanza sijui tuna tatizo ganiBack passes nyingi zinaboa
Tuliaa wewe...Nyumbu kama Nyumbu huu ni upuuzi gani mnacheza.!!?? Shauri yenu nafasi ya 4 mtaisikia kwenye bomba
Mpira sio rahisi kama unavyodhani, Au unadhani Crystal palace ni kama vile Singida United.Kwa mpira huu top 4 tuisahau
lingard anauzwa hachezi tena.Hii mechi tunafungwa kama ikitokea Lingard akaingia
Kale kajamaa kana gundu sana kubabake.....bure kabisa
Dah! Na ww mrembo hivyo unashabikia nyumbu FC.!!! Pole sana