Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna tetesi kutoka Anfield kwamba Klopp kaamua kuwa atawapa nafasi wachezaji ambao wamepata muda finyu kwenye mechi za ligi. Kama ni hivyo, tutegemee academy wengi kupewa nafasi siku hiyo na hii itakuwa ni blow kubwa sana kwenue kwani mkakati wenu sasa uwe ni kuwapiku LFC kwenye nafasi ya nne, au msipoangalia mtabakia hapo hapo na Greenwood, Bruno wenu
 
Dogo tulia mpaka siku ya mwisho ndiyo uyaseme haya
 
Kuna tetesi kutoka Anfield kwamba Klopp kaamua kuwa atawapa nafasi wachezaji ambao wamepata muda finyu kwenye mechi za ligi. Kama ni hivyo, tutegemee academy wengi kupewa nafasi siku hiyo na hii itakuwa ni blow kubwa sana kwenue kwani mkakati wenu sasa uwe ni kuwapiku LFC kwenye nafasi ya nne, au msipoangalia mtabakia hapo hapo na Greenwood, Bruno wenu
Ipo hivyo mkuu Nyumbu hana chake
 
★Sikuwa najua kama mna muogopa hivyo ila Nijukumu lenu kusikitika mkuu Maana moto wake mna ufaham mjiandae na 2 kutoka kwake
Tunasikitika sana kwamba hatutakutana na huyo GreenTimber kwenye FA
 
★Me naona ni kweli alichokisema huyu jamaa Japo Solskjær ana kazi ya kifanya kuwapata hawa wachezaji wakufiti ku compete na Klopp & Guardiola pia utulivu wa akili unatakiwa ili kunyambua kwa ufasaha yupi anafaa asije jutia

Gary Neville : "Ole Gunnar Solskjær needs two or three more players to compete with those managers [Klopp & Guardiola] — I think they should invest, not stupidly, not £150m on a player. I'm talking about getting the right players.".★

manutd |
 
GGMU
IMG-20200716-WA0066.jpg
 
Dear Zaha,

Of crystal palace today l bestow upon you the power of CR7 , the skills of Messi , the scoring ability of Pele and even the bumbum of Hazard. l give to you the grace of Arsenal who destroyed the dream of 100 points last night.
Go forth and be successful in your pursuit to move away from relegation zone. I just love this guy not for anything but as a football loving fan.

Kila la kheri Crystal Palace
IMG-20200716-WA0027.jpg
 
Dear Zaha,

Of crystal palace today l bestow upon you the power of CR7 , the skills of Messi , the scoring ability of Pele and even the bumbum of Hazard. l give to you the grace of Arsenal who destroyed the dream of 100 points last night.
Go forth and be successful in your pursuit to move away from relegation zone. I just love this guy not for anything but as a football loving fan.

Kila la kheri Crystal PalaceView attachment 1508829
Taahira peke yake ndiyo anaweza amini Man utd inafungwa
 
Back
Top Bottom