Huyo flop arsenal watulipe pesa zetu asee [emoji23][emoji23]habari njema.......common Inter milan
Alexis Sanchez has created 10 chances in the match vs Torino.
Only 3 players created more chances in a single Serie A match than the Chilean since 2004/05 (since Opta collected this kind of data)
11 Diamanti (May 2013)
11 Pizarro (Nov 2011)
11 Cassano (Oct 2008)
Hii Chelsea au utopolo huu, Ujinga bwana huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteni kwa kunipa pesa ndugu zangu wa London[emoji1317]
Ila kigoli kimoja kama mtoto wa kiganga dah,muda wote roho juu kama twala futali ya tambi,
Nakukumbusha [emoji23][emoji23][emoji23]Nyie nyumbu tarehe 19 mtanieleza vizuri zile nne mlizipata vipi, takataka nyie
Yani ktk ambayo sina hofu nayo Cheltako namba moja nina hofu na crystal palace kuliko ww kiazi [emoji23][emoji23][emoji23]Nyie nyumbu tarehe 19 mtanieleza vizuri zile nne mlizipata vipi, takataka nyie
Hiyo siku half time mshakimbia jukwaa [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Amba ruti
Namuona martial bruno rashfod au greenwood Kati ya hao akifunga goli 2 hiyo sikuWe takataka tulia hivyo hivyo, siku hiyo ndio utajua hujui nyumbu wwq
Jiandae na khamsa ww kiazi [emoji23][emoji23][emoji23]Nyie nyumbu tarehe 19 mtanieleza vizuri zile nne mlizipata vipi, takataka nyie
Hamna beki mule nafuu amuamini tuanzebe au mensahOle atupandishie teden mengi beki mzuri Sana msimu ujao tumuone akicompete na lindelof
Ilikwishabukiwa. Labda muende ligue one
Wakati ukutaNyie nyumbu nafasi ya 3 mtasikia kwenye bomba tu