Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Achana na uyo tony kuna dogo anaitwa Matheus Pereira yupo westbrom hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
tony pulis aliyekusudiwa ni kocha na si mchezaji, ndivyo ninavyojiaminisha.
dah! it looked cash reserved imepungua...........ikiwa klabu nyengine nazo zitapata athari kubwa ya kimapato kama ilivyo au zaidi ya manchester united basi huenda ikawa ni nafuu kubwa sana kiupande wetu.Korona yaathiri mapato ya timu na deni limepanda kwa karibu 42% kwa mwaka huu tu hivyo usajili matatani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii klabu imefundishwa na world class coashes lakini bado tukachechemea..tumpe Ole muda..Mafanikio hayaji tu from nowhere.ole simwelewi kabisa..... hatuwezi mpata TOny pulis? yule jamaa anaweza tupa uefa na epl ndani ya mwaka
Sent using Kirikuu
Very true kama ile rooney anaipiga tiktaka mbele ya vincent company kitasa akina droga wamempa shida sana nemanja vidic tores ndio usiseme, mastraika wa siku izi nyoronyoro sana akina martial , aubemayang nk
Achana na uyo tony kuna dogo anaitwa Matheus Pereira yupo westbrom hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Strikers wa kipindi hiki ni rojorojo kweli..akina Martial,Tommy Abraham,Lacazzete