PL side wajipange wajuba washaungana huko
FB_IMG_1589953247249.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasi wasi wangu mimi timu yetu itakuwa vulnerable sana defensively maana huyo jamaa akiwa na mpira anakuwa threat kotekote kwenye timu yako na kwa opponent at any time atatoa boko mnafungwa pia at anytime anatoa assist mnafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ole alisema benchi la ufundi lina-figure out ni jinsi gani watawabeba Bruno na Pogba kwa muda mmoja..Sasa sijui ni nani kati ya McTominay,Fred na Matic ataanza kwenye CDM..Maana naona itakuwa ngumu kucheza na viungo wanne..Maybe inawezekana,let's wait and see.

Matic +Fred wamefanya tuwe na ngome ngumu kiasi..wapo vizuri defensively,kuharibu tena hii combo sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom