Ole alisema benchi la ufundi lina-figure out ni jinsi gani watawabeba Bruno na Pogba kwa muda mmoja..Sasa sijui ni nani kati ya McTominay,Fred na Matic ataanza kwenye CDM..Maana naona itakuwa ngumu kucheza na viungo wanne..Maybe inawezekana,let's wait and see.

Matic +Fred wamefanya tuwe na ngome ngumu kiasi..wapo vizuri defensively,kuharibu tena hii combo sijui itakuwaje
Wakitumia mfumo anaotumia Diego Simieone wanaweza kuwatumia pamoja

Jamaa anaweza kuwatumia
Partey, Koke, Saul Niguez na Joao Felix pamoja au Hecta Herrera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUMERUDI!!!
Anthony%20Martial.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom