Makinda tunao tusiangaze nje kupitilizia
Screenshot_2020-05-22_155843.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korona yaathiri mapato ya timu na deni limepanda kwa karibu 42% kwa mwaka huu tu hivyo usajili matatani!

Sent using Jamii Forums mobile app
dah! it looked cash reserved imepungua...........ikiwa klabu nyengine nazo zitapata athari kubwa ya kimapato kama ilivyo au zaidi ya manchester united basi huenda ikawa ni nafuu kubwa sana kiupande wetu.

tunahitaji kuingiza wachezaji wapya kwa njia iliyozoeleka, dhana ya opportunity cost haitufai kiupande wetu.
kwa mfano: tunamtaka jadon sancho lakini tumuondoe paul pogba ili kubalance matumizi.

jesse lingard, phil jones, marcos rojo, alex sanchez na chris smalling.​
tuombe Mungu soko lijalo liwe rafiki kiupande wetu, nikimaanisha tupate wateja sahihi wa kufanya nao biashara tajwa hapo juu


Chief financial officer Cliff Baty said they are set to hand back £20m in TV revenue to broadcasters even if the Premier League season is completed.

kupitia sentensi hiyo hapo juu nahitaji msaada wenu, ni sababu zipi zitakazopelekea klabu kurudisha kiwango hicho cha fedha even ikiwa ligi itamaliza.
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom