ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,281
- 22,014
Alipoanza tumia watoto epl nini kilimkuta wenger??
Acha ku disrespect wenger
Acha ku disrespect wenger
Mpe heshima yake Wenger, huyo Ole hana uwezo hata robo wa kumfikia Le professeur.Ole is another wenger in epl
Tangu nimeanza kumfuatilia Wenger sijawahi kuona akifundisha timu ikacheza hovyo kama hii MUFC ya Ole. Umemdharau sana Wenger.
We unaweza kuuza lukaku sanchez na herrera halafu ukabaki salama? Namba zao anaziba rashford lingard na martial ukijuosha wote wana goli za lukaku
Ole sijui alikuwa anaionaje EPL😂😂 Unamtegemea Rashford, Lingard, Greenwood na Gomes kweli? Sasa acha ajue hajui kitu.😂 Lazima tukubali licha ya ubovu wa wachezaji wetu, Ole sio kucha kabisaaa. Angalia West ham walivyokuwa wanaonana vyema uwanjani. Ukiangalia utajionea kabisa tatizo kubwa lipo wapi. West ham wana kocha sisi hatuna kocha. |
Huyo jamaa anazinguaMpe heshima yake Wenger, huyo Ole hana uwezo hata robo wa kumfikia Le professeur.
Pogba uwezo wa kufunga mkubwa sana mkuu, Iniesta alikuwa anaweza sana kutoa assist lakini kwa Pogba Iniesta bado sema of course Iniesta ni moja ya Midfielders wakubwa waliowahi kucheza soka la kulipwa
Namaanisha kutumia watoto mpaka anaachia timu epl anaisikia tu
Kidogo angalau hata watoto wake walikuwa wanajua mpira na wana mwalimu mzuri. Ila huyu Ole hapana. |
Ni uzwazwaMkuu nakuomba ufute hii kauli,Haiwezekani umfananishe Mzee Wenger na upuuzi kama huu Kocha aliyeishusha daraja Cardiff city unamfananisha na World Manager
Poleni, japo hamkustahili kushinda. Hii timu unatakiwa uwe na roho ngumu kuendelea kuisupport.
View attachment 1213636
Nakufuatilia inaonekana una Chuki sana na ArsenalTukubali tu united ni aseno mpya ndani ya epl
Ed
Glazer
Iueni kabisa hii timu