Wakati Ole Guna bado hajawa bwege.
Kwa timu yetu hii inavyocheza sasa hivi, ni wazi kuwa hatuna mahitaji makubwa sana ya kusajili kama ambavyo mou alitaka kutuaminisha, eti centre back, kila kukicha centre back, huyo toby angekuja kuongeza nini cha ajabu?? Tena kwa 75???, kama ni centre back alete koulibaly ile ya napoli pale, kweli tutakua tumeleta centre back, alikua anashawishi pogba na martial wauzwe, eti sanchez nae auzwe january, mou angetushusha daraja jamani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rashford kamzoea kocha.
Aliamua ye mwenyewe kuibana timu uwanajani na kuwanyima uhuru wachezaji wake, aliwataka kukaba zaidi kuliko kushambulia.

Now timu inacheza, tunaiona Man United tuliyoizoea, timu inacheza, inafunguka mno uwanjani.

Old t inarudi kuwa uwanja wa machinjioni.

Ndani ya dakika 30 timu inatakiwa kutupa uhakika wa ushindi.

Mpira huu unaochezwa sasa utakuwa na faida kubwa kwa Pogba na Sanchez.

Mabadiliko kwa Rashford anajituma sana uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana mambo ya kiboshoo.

Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au?

Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.
wanaosema ni mateja wa man u mkuu.
 
Back
Top Bottom