Hivi yale majeraha yanayowapata wachezaji na kuwaweka nje kwa msimu mzima kwanini hayapo kwa Rashford?
Flop of the match kabla hajajivunjaView attachment 1213619
Nitaendelea kufukua tuMkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Bado miezi kadhaa tu hili jambo litokeeMkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Hahahah...!Tusamehe baba Lukaku kama itapendeza January rudi kwa mkopo.
Tusamehe kaka pogba tunakuombea Mungu upone haraka tumemic zile assist zako hatare zinazosababisha tunapata penati
Tulilisema sana hiliWacha tufungwe Ole alifanya kosa kubwa kumuuza Lukaku bila kusajili mshambuliaji mwingine