Mkuu mimi nakubaliana na hoja yako kuwa Rashid sio striker tishio (hilo sibishi hata kidogo)

Lakini kwa kuwa OGS atampa nafasi za kutosha na penati atapewa na goli 15 kwake sio nyingi kiivyo (hapo ndio tuna tofautiana)

Lakini muda ndio utaongea Mkuu
Muda utaongea kivipi mkuu ..Rashid ana misimu mingap mpka sasa? Kuna msimu wowote keshafikisha goli 15?? Hahahaha
 
Hizi stats zinaweza kupotosha kwa kiwango flani, maana Lengo ni kuonesha nani yupo clinical kati ya hao wawili

Hayo magoli aliyopata Rashy (10) ameyapata akiwa anatokea pembeni, sio main striker lakini Tamy ni mshambuliaji wa kati

Hapa nataka tuwe fair kwa Rashy
Acha ujinga, Ronaldo na Messi wanatokea wapi? Au unafikiri tupo mwaka 90's?
 
Acha upumbavu, Ronaldo na Messi si mawinga, Rashy kabla ya mwaka huu amekuwa akichezeshwa kama winga

Ronaldo na Messi wamekuwa wakitokea kati, pembeni n.k. Wapepewa leseni na makocha wao kutokea popote kwa kadiri game inavyoendelea.
Acha ujinga, Ronaldo na Messi wanatokea wapi? Au unafikiri tupo mwaka 90's?
 
Man united ya sasa kushinda mechi ni jambo la kushangaza ila kutoa sare au kufungwa ni kitu cha kawaida tu.

Ndiyo maana nikasema Siku tukikutana na timu zenye midfield nzuri tunateseka sana tu. Ndiyo maana hata leceister tulistruggle sana
Mpira haupo hivyo mkuu

Chelsea angeanza na Liverpool (mechi ya super cup alicheza vizuri sana) , tungeweza kuwa na mindset hiyo hiyo, lakini kwa kuwa alianza na sisi tukampa kichapo kizito, tunachukulia poa tu
 
Hivi unakuwaje na straika ambaye afikishi hata goli kumi kwa msimu? James huu msimu anaeza kuja kuwa na goli nyingi kuliko Rashiford
Kila la kheri Chelsea

Ukishinda mechi moja unajiona kama una kombe tayari. Ngoja tusubiri SELF-BAN ukila kipigo.

Anyway Rashford anazingua.
 
Man united ya sasa kushinda mechi ni jambo la kushangaza ila kutoa sare au kufungwa ni kitu cha kawaida tu.
Ndiyo maana nikasema Siku tukikutana na timu zenye midfield nzuri tunateseka sana tu. Ndiyo maana hata leceister tulistruggle sana

Mzee acha utabiri mpira una sare, ushindi na kupoteza ukiendelea Negative mindset hutafurahia mpira hadi msimu unaisha. Tunajua Man U tuna matatizo ila ikishinda furahia, ikipoteza Lia ikitoka Draw kuwa mchambuzi that's football.

Niambie ni klabu ipi ina uhakika wa kushinda all games?

We are fans when Man U win we feel good even it becomes better when Norwich slaught Manchester city.
 
Man united ya sasa kushinda mechi ni jambo la kushangaza ila kutoa sare au kufungwa ni kitu cha kawaida tu.

Ndiyo maana nikasema Siku tukikutana na timu zenye midfield nzuri tunateseka sana tu. Ndiyo maana hata leceister tulistruggle sana

Perreira alishindwa kufanya majukum yake vizur na mwenzie matic kiungo kwa sasa kiwe scott, pogba na fred timu ipo walahi scott akiendelea na kile kiwango cha mech ya leicester city matic ataenda juventus bure atafute shughuli ya kufanya
 
Mkuu sijakupata vizuri hapo

Kwamba ktk mashindano yote rashford hawez kufikisha goli 15 ina maana tutakuwa tunapata ushindi wa timu pinzan kujifunga au mabek wetu kufunga magoli na sio rashford maana yeye na martial ndio wapo mbele sasa ktk mashindano yote rashford atashindwa? Ndio maana nikasema jamaa anaongea kishabik rashford ana uwezo wa kufikisha kwa sasa sioni kikwazo ni suala la muda
 

Hata hivyo chelsea wana viungo wengi wa maana hii timu yetu inahangaika sana katikati hiv tunaamini huyo dogo wa chelsea ni bonge la striker kumzid rashford? Hapana rashford kisha tuonesha ni striker ambae hata mech kubwa unamuona ni mapungufu madogo aliyonayo kwa kuwa timu haina ushindani wa namba tu

Timu yetu ni kama kuna wachezaj wa 5 tu wanaweza kucheza chelsea na kuanza kuna muda kuhukumu wakina rashford kuwaonea maana haina wachezaj wazoef kama wa chelsea ambao wanaficha madhaifu ya wakina Abraham

Martial
Maguire
Pogba
De gea
Wan bissaka

Scott na rashford pia wanaweza ila kwa mwenendo wa timu yetu huwez kuwapa nafasi ya moja kwa moja huyo Abraham akija united lazima atahangaika tu

Wamepita wachezaj wa maana kwetu waneonekena magalasa kwa sababu ya mfumo tu
 
Back
Top Bottom