Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Perreira alishindwa kufanya majukum yake vizur na mwenzie matic kiungo kwa sasa kiwe scott, pogba na fred timu ipo walahi scott akiendelea na kile kiwango cha mech ya leicester city matic ataenda juventus bure atafute shughuli ya kufanya
Fred akijiamini kama anavyojiamini Scott na akiacha ubishoo kama alivyo Scott, kiungo hakitakuwa na shida tena. Naamini Fred ana kitu cha ziada hasa nikitazama pasi zake.
 
Mzee acha utabiri mpira una sare, ushindi na kupoteza ukiendelea Negative mindset hutafurahia mpira hadi msimu unaisha. Tunajua Man U tuna matatizo ila ikishinda furahia, ikipoteza Lia ikitoka Draw kuwa mchambuzi that's football.

Niambie ni klabu ipi ina uhakika wa kushinda all games?

We are fans when Man U win we feel good even it becomes better when Norwich slaught Manchester city.
Na hapo ndo utamu wa mpira ulipo..kuwa sana Negative na timu yako sio sawa..ni bora kukubali hali halisi na kuendelea nayo..na tukiimarika siku hadi siku furaha ndo huzidi zaidi
 
Fred akijiamini kama anavyojiamini Scott na akiacha ubishoo kama alivyo Scott, kiungo hakitakuwa na shida tena. Naamini Fred ana kitu cha ziada hasa nikitazama pasi zake.
Fred apewe namba..

Kuna game kibao tu kacheza vizuri..mfano gemu ya Barcelona away,PSG away game,Arsenal away..ni error chache zile alizokuwa anafanya ambazo naamini akiaminiwa zaidi zitapungua..

Anasambaza mipira kama ana rula..

Then kirusi Pogba tunamsogeza mbele no 10
 
Huo ndio ukweli

Wote tunatambua kwamba Rashy sio forward ambaye siku moja atakuja kupata golden boot, lakini hiyo haimaanishi kwamba hawezi kufikisha goli 15-20

Sasa Ollachuga yeye anaongea kishabiki tu
Kwamba ktk mashindano yote rashford hawez kufikisha goli 15 ina maana tutakuwa tunapata ushindi wa timu pinzan kujifunga au mabek wetu kufunga magoli na sio rashford maana yeye na martial ndio wapo mbele sasa ktk mashindano yote rashford atashindwa? Ndio maana nikasema jamaa anaongea kishabik rashford ana uwezo wa kufikisha kwa sasa sioni kikwazo ni suala la muda
 
Mkuu umeongea hoja ya msingi sana

Watu pia wanali overlook hilo suala la chances zinazokuwa created United ni chache ukikinganisha na Chelsea

Lakini unataka kuniambia kwamba DJ hawezi ingia kikosi cha Chelsea?

Hata hivyo chelsea wana viungo wengi wa maana hii timu yetu inahangaika sana katikati hiv tunaamini huyo dogo wa chelsea ni bonge la striker kumzid rashford? Hapana rashford kisha tuonesha ni striker ambae hata mech kubwa unamuona ni mapungufu madogo aliyonayo kwa kuwa timu haina ushindani wa namba tu

Timu yetu ni kama kuna wachezaj wa 5 tu wanaweza kucheza chelsea na kuanza kuna muda kuhukumu wakina rashford kuwaonea maana haina wachezaj wazoef kama wa chelsea ambao wanaficha madhaifu ya wakina Abraham

Martial
Maguire
Pogba
De gea
Wan bissaka

Scott na rashford pia wanaweza ila kwa mwenendo wa timu yetu huwez kuwapa nafasi ya moja kwa moja huyo Abraham akija united lazima atahangaika tu

Wamepita wachezaj wa maana kwetu waneonekena magalasa kwa sababu ya mfumo tu
 
Kirusi PP
Fred apewe namba..

Kuna game kibao tu kacheza vizuri..mfano gemu ya Barcelona away,PSG away game,Arsenal away..ni error chache zile alizokuwa anafanya ambazo naamini akiaminiwa zaidi zitapungua..

Anasambaza mipira kama ana rula..

Then kirusi Pogba tunamsogeza mbele no 10
 
Fred apewe namba..

Kuna game kibao tu kacheza vizuri..mfano gemu ya Barcelona away,PSG away game,Arsenal away..ni error chache zile alizokuwa anafanya ambazo naamini akiaminiwa zaidi zitapungua..

Anasambaza mipira kama ana rula..

Then kirusi Pogba tunamsogeza mbele no 10
Hapo kirusi akae atembee tu uwanjani kama kawaida yake,maana visingizio kibao. Mara tununue mtu wa kumfanya acheze free, hiyo free ni ya aina gani? Awe anakaa tu asubiri kupewa mipira au?
 
Mkuu umeongea hoja ya msingi sana

Watu pia wanali overlook hilo suala la chances zinazokuwa created United ni chache ukikinganisha na Chelsea

Lakini unataka kuniambia kwamba DJ hawezi ingia kikosi cha Chelsea?

Daniel james sijapenda tu kumuweka hapo ila anacheza vizur sana na ni mmoja kati ya wachezaj wazur wajao hasa kocha akiwa solskjaer kaonesha namna anavyoweza kuendeleza vipaji vya madogo wachanga sina wasiwasi nae hata kidogo
 
Hivi Matteo Darmian tumemtoa kwa mkopo au ameuzwa? Mbona hata kwenye kurasa profile na cover kuna picha za MUFC, au ndio alikuwa MUFC damu?
 
Acha upumbavu, Ronaldo na Messi si mawinga, Rashy kabla ya mwaka huu amekuwa akichezeshwa kama winga

Ronaldo na Messi wamekuwa wakitokea kati, pembeni n.k. Wapepewa leseni na makocha wao kutokea popote kwa kadiri game inavyoendelea.
Mo Salah na Mane ni central strikers?
 
Degea asaini mkataba mpya
Screenshot_20190916_172437_com.instagram.android.jpeg
 
Unajua formation wanayocheza wao miaka yote?

Kwani sasa hivi Rashy ni central striker? lakini amepewa leseni ya kuingia kati tofauti na formation za miaka ya nyuma
Mo Salah na Mane ni central strikers?
 
Hapo kirusi akae atembee tu uwanjani kama kawaida yake,maana visingizio kibao. Mara tununue mtu wa kumfanya acheze free, hiyo free ni ya aina gani? Awe anakaa tu asubiri kupewa mipira au?

Pogba ukimpa majukumu serious anaweza cheza vizuri dakika 80 then akaja akatoa Boko moja tunapoteza mechi.

Kipindi matic yupo form Pogba alikuwa anaachiwa na ule msimu tulioshika nafasi ya pili alikuwa na Mchango mkubwa, hata ile run bila kupoteza mechi Pogba ndio alikuwa katika centre ya kupeleka mashambulizi.

Namba anayopenda pogba mwenyewe Ni kiungo wa kati kushoto kwenye 4-3-3, anakuwa Kati ya beki wa kushoto na forward wa kushoto. Ila hatuwezi kucheza Hivi Bila Fred ama Namba 6 inayojielewa.
 
Fred sio namba 6 .

pia PoGba sio namba 10 kamili kama wakina David Silva . ni rahisi sana kubanwa na asifanye chochote, kumbuka gemu na paris OT.

Kwakuwa hatuna options tunaweza kufanya hivyo, lakini sio long term.

Summer tunaweza kumuuza then tukaleta viungo wawili, no6 mithili ya kante na namba 10. Namba 8 tayari tunao (MCT na Fred-kama atabadilika).
 
Mazee tuwape Zouma kama tulivyowapa Arsenal Luiz

Mna Million 40 za chap chap apo..tumalize biashara..tunajua Zouma atawafaa sana ..

Kila la kheri Chelsea
 
Fred sio namba 6 .

pia PoGba sio namba 10 kamili kama wakina David Silva . ni rahisi sana kubanwa na asifanye chochote, kumbuka gemu na paris OT.

Kwakuwa hatuna options tunaweza kufanya hivyo, lakini sio long term.

Summer tunaweza kumuuza then tukaleta viungo wawili, no6 mithili ya kante na namba 10. Namba 8 tayari tunao (MCT na Fred-kama atabadilika).
Sijaandika mahali pogba Ni 10 Bali nimeandika midfield ya Kati kushoto kwenye 4-3-3 namba ambayo alikuwa anacheza juve.

Na Fred Ni kiungo mkabaji/wa katikati, ameshacheza Mara kibao Kama midfield anaekaa nyuma kwenye 4-3-3 akiwa na shakhtar, hata best perfomance ya Fred na jezi ya Man UTD ni akicheza alongside MC tominay kuliko akiwa na Matic.
 
Back
Top Bottom