D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
tahit chong ndiye kusudio langu.Nani huyo, Chongy au Gomes
kwa mtazamo wangu dhaifu umbile lake linamfanya awe slow sana kucheza eneo la winga au namba 10.
kama angelikuwa ni midfield wa chini ingelipendeza zaidi kutokana na ufundi aliojaaliwa kuwa nao.
umbile lake anafanana sana na yule bamboucha wa leicester city aliyetolewa kipindi cha pili.


