Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu anachokifanya OGS kwa daniel james itakuwa ni faida kubwa sana kwa huyo dogo hapo mbeleni kama atakuwa serious, zile zama tulizowashuhuhudia wachezaji mfano wa ryan giggs, david beckham wanacheza upande mmoja tu maisha yao yote kisoka zimeshapitwa na wakati.

ronaldo anatumia mguu wa kulia lakini alipokuwa real madrid alikuwa anatokea upande wa kushoto.
lionel messi anatumia mguu wa kushoto kwa ufasaha lakini barcelona anatokea upande wa kulia.
gareth bale anatumia mguu wa kushoto lakini anacheza namba 7
mifano ipo mingi sana brother.

kuna mechi anaweza kukutana na mlinzi hodari atakayemfanya atamani abadilishe upande mwenyewe bila ya maombi ya kocha.
Kuna kitu nahic haukifaham anayetumia mguu wa kulia ni rahic sana kucheza namba 11(winga ya kushoto) na anayetumia mguu wa kushoto ndio anayecheza winga ya kulia (namba 7)

Fatilia mawinga wazur wote wanao perform angalia miguu wanayotumia na upande wanaocheza utapata jibu
 
Propaganda za media VS VAR, tutaona kipi kitasimama (Ninachosema hapa msimu huu kuna VAR, kwa hiyo maamuzi yatakuwa tofauti na msimu uliopita)

Hata hivyo tulishadhulumiwa penati, mfano mechi ya Man na Cristal Palace, na Martial akaangushwa dhahiri lakini hatupewa penati
4 out of 5? Nilikuwa sijui hilo..

Ila hilo lina hasara zake! Last season Mo Salah alitumia Penalties kama 3 au 4 hivi! Media zikaanza kupropagete kuwa anabebwa na Marefa! Si marefa wakawa trapped na propaganda za Media za Kiengereza! Kudadadeki mpaka leo hata mchezaji wetu atolewe Macho basi hatupewi tuta.

Yani kwenye michezo 5 tumepewa Tuta 1 against Arsenal

Wakati inajuilikana kuwa Ukiwa na Washambuliaji wanaovamia goli muda wote basi unakuwa na Possibility ya kupata Tuta muda wowote.

Kwahiyo nanyinyi sasahivi Media zitawaanzia Propaganda za kuwa Munabebwa
 
Mkuu sijakupata vizuri hapo
Ktk mashindano yote umeongea kishabiki sana mkuu kwamba magoli yatakuwa yanafungwa na mabek tu au timu pinzani zinajifunga? Kumbuka mbele yupo yeye martial na james chaguo la kwanza
 
Hakuna Gomes, hakuna Chongy, hakuna Greenwood, hakuna Jimy Garner, hakuna madogo wengi tu wa academy kwani United haijawaorodhesha kama wachezaji watakaocheza Europa, kwani kwa kufanya hivyo wangebania wachezaji wengine nafasi

Madogo wa academy wanaruhusiwa kucheza hata wasiporodheshwa, kanuni zinaruhusu

Gomes hayupo kwenye kikosi cha united kitakachocgeza EUROPA
 
Propaganda za media VS VAR, tutaona kipi kitasimama (Ninachosema hapa msimu huu kuna VAR, kwa hiyo maamuzi yatakuwa tofauti na msimu uliopita)

Hata hivyo tulishadhulumiwa penati, mfano mechi ya Man na Cristal Palace, na Martial akaangushwa dhahiri lakini hatupewa penati

Duh! Kumbe mpaka leo unaamini VAR??

Mkuu VAR ni just Television tu haisemi wala haiamui, bali anaeamua ni Refa bila ya kulazimishwa kuwa aifuate VAR

Kwenye WC, CL na La Liga wanatumia VAR kitambo lakini tunashuhudia ananyongwa Mtu Kavkavu!

Hata EPL Luna VAR lakini mpaka sasa Maamuzi ya kiajabuajabu yameshatokea zaidi ya 20.

VAR haiongezi usahihi wowote kwenye Ligi bali inaweza Kukubeba au Kukuminya.

Binafsi sisi VAR imeshatubeba na imeshatukamua.
 
Rashford wenu huyo.
20190915_201204.jpeg
 
Kwenye hili nina muelewa OGS lakini wakati huo huo simuelewi

Wote tunamtaka DJ atokee kushoto maana ndio anakuwa na impact zaidi kuliko akitokea kuli (hapa simuelewi)

Analazimika kumchezesha upande wa kulia kwa sababu hana option nyingine (yaani mawinga wote wa United ni wazuri kutokea kushoto, hapa namuelewa kwamba hana option)

Kwanini asingetumia dirisha la usajili kupata kupata winger wa kulia? (hapa simuelewi).
Dirisha la usajili limefungwa akiwa very comfortable.
 
Mkuu nailewa VAR sana, yaani kwa maelezo uliyonipa ni sawa na kumwambia Mwanafunzi wa kidato cha 6 aandike a, e, i, o, u

Nilichoongea hapo, kupitia VAR marefa sasa wana msaada wa technolojia ili kujua u sahihi wa jambo lilitokea uwanjani

Nafahamu kwamba kuamua kutumia VAR ni utashi wa Watu waliopo chumba chenye TV na referees

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba VAR inapunguza makosa ya kibinadamu kuliko isingekuwepo
Duh! Kumbe mpaka leo unaamini VAR??

Mkuu VAR ni just Television tu haisemi wala haiamui, bali anaeamua ni Refa bila ya kulazimishwa kuwa aifuate VAR

Kwenye WC, CL na La Liga wanatumia VAR kitambo lakini tunashuhudia ananyongwa Mtu Kavkavu!

Hata EPL Luna VAR lakini mpaka sasa Maamuzi ya kiajabuajabu yameshatokea zaidi ya 20.

VAR haiongezi usahihi wowote kwenye Ligi bali inaweza Kukubeba au Kukuminya.

Binafsi sisi VAR imeshatubeba na imeshatukamua.
 
You never know mkuu

Huwezi jua jinsi anavyoumana na Ed wakiwa huko chamber, lakini kwenye public anaonesha ameridhika

OGS si kama Jose, mzee wa black and white always anaita kijiko, kijiko (not diplomatic)
Dirisha la usajili limefungwa akiwa very comfortable.
 
Mpira haupo hivyo mkuu

Chelsea angeanza na Liverpool (mechi ya super cup alicheza vizuri sana) , tungeweza kuwa na mindset hiyo hiyo, lakini kwa kuwa alianza na sisi tukampa kichapo kizito, tunachukulia poa tu
Huo msako wa WATFORD siku wakikutana na Man united sijui watamfunga ngapi tu
 
Chelsea level zenu ni championship ,muda utaongea ,

Unai kashapata presha tumemfata tweeter kaipata fresh , atapanga vzr sasa

Wewe mwenye Abraham jirud na willian hata kwa Everton mwenye Iwobi Kean Richardson humfikii ,ndio ujifananishe na kina auba laca pepe ?acha masihara Ollachuga ,

Norwich kapanda daraja unatoka naye 3-2 ,sasa kina Everton, wolves , Leicester sindio watakuua, hapo top 6, hubebi hata point 1
Hizi pumba sijui huwa unaziandika ukiwa wapi?
 
Kwa ile midfield yetu Watford wakifanya waliyomfanyia Arsenal second half tutakuwa na wakati mgumu sana
Mpira haupo hivyo mkuu

Chelsea angeanza na Liverpool (mechi ya super cup alicheza vizuri sana) , tungeweza kuwa na mindset hiyo hiyo, lakini kwa kuwa alianza na sisi tukampa kichapo kizito, tunachukulia poa tu
 
Midfielders wa Watford na wa Chelsea au wa Leicester wapi wapo vizuri Mkuu?

Kwamba, mid ya Watford inaweza kufunika mid yetu

Nadhani tunapolalamika kwamba tuna midfielders wabovu ni kwa kuangalia hadhi ya timu yetu. Yaani mid mbovu ukifananisha na City, Liverpool n.k

Sio kwamba ni mid mbovu kiivyo
Kwa ile midfield yetu Watford wakifanya waliyomfanyia Arsenal second half tutakuwa na wakati mgumu sana
 
Sikumbuki Rashid ni lini amefunga hattrick lakini, Rashid ni moja kati wachezaji walioifungia Man Utd magoli muhimu sana

Ameshawaliza Arsenal, City, Chelsea, Liverpool na kila mkubwa unayemfahamu wewe pale uingereza

Tamy anakuja vizuri, lakini anaonekana ni wale wachezaji ambao timu inapo dominate sana game ndio anaonekana na ndio maana kwenye mechi za ushindi wa 1 - 0 haonekani, lakini ushindi wa 4 au 5 anaonekana
Tuombe uzima mkuu ..Rashid hafikishi goli 15 msimu huu...

Kila.la.kheri.Chelsea
 
Back
Top Bottom