Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,695
Ila Newcastle ni wazuri wale jamaa bas tu watu hamjataka kuwachunguza kiundan, wana yule almiron halafu Bruce anaweka viungo wengi kati, hivo wakikutangulia ,umekwishaNaona Wolves kazi yao ni kupania tu vigogo
Spurs nao wame prove kwamba United kufungwa na Palace nyumbani haimaanishi ni wabovu kiivyo
Ngoja tujifariji
Spurz haisemwi tu ,ila msimu uliopita away alikuwa na form mbaya sana , japo Leo kapigwa kwake,
Leo kakosekana Ndombele ,Newcastle wamewazuia mwanzo mwisho.