Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii habari imenifurahisha sana. Kamwe sikuwahi kuwa na mashaka na Ten Hag. Kwangu mimi ndio kocha bora utd kumpata baaada ya Sir Ferg. Nasema hivyo kwa sababu anatabia na falsafa fulan kama za Sir Ferg ambazo ndio ziliifikisha utd pale ilipo.

Kwanza hacheki na kima na haangali jina la mchezaji, awe mkubwa awe mdogo akizingua anamzingua na anamuondoa kwenye timu au kupiga mnada Ole guna alikuwa kocha mzuri hili lilimshinda na alikuwa na kijitabia cha ubaguzi kwa baadhi ya wachezaji kwa kuwanyima nafasi, huwezi kuwa na Cavan benchi halafu Martial anacheza dakika 90 na hakupi matokeo vivyo hivyo kwa Igalo dhidi ya Martial. Erick kawanyoo
sha mfano Ronaldo, Pogba kuuzwa Sancho kutolewa kwa mkopo na Maguire kuvuliwa ucaptain.

Pili anaibua vijana kutoka academy hii inaonesha anajua kufundisha mpira na hichi kitu ndio mafanikio ya utd. Vijana wa academy siku zote ni wafia timu. Tatu ni kocha wa vikombe, pamoja na wakati mgumu aliyepitia katika misimu yake miwili kachukua vikombe viwili hii inaonesha ana uwezo wa kuchukua kombe katika mazingira yeyote.

Kilicho mgharimu Ten hag ni majeruhi ya muda mrefu ya wachezaji wake muhimu hasa aliyewasajili wamekuwa wakipishana kwenye majeruhi na hii ilimuharibia mipango yake toka msimu wa kwanza na kubadilisha hata style ya uchezaji. Kuna kipindi Casemiro akiwa kiungo tegemeo wa timu alipata majeruhi ya muda mrefu mara makadi mekundu timu ikaanza kudrop point ikiwa kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.

Kuna wakati Luca Show,Varane, Malacia ,Bisaka wote kwa pamoja walikuwa majeruhi lakini bado timu ilipambana. Unakuta timu inastraika kama Martial tena majeruhi, winga mvivu kama Sancho na Rashford lakini bado jamaa alipambana. Mimi naami jamaa kafanikiwa sana hasa kwenye nidhamu ya timu na kuwapa hamasa vijana hii imewapa alert wakubwa hasa wavivu kama Rashford. Naamini kuanzia msimu ujao utd itaanza kuwa ya moto maana kutakuwa na ushindani mkubwa wa number na hata vijana wa academy wengi watapanda hivyo wazee wakae chonjo. Naona kabisa utawala wa City ya Pep na Liver ya Klopp unakaribia kuisha unarudi utawala wa utd na arsenal ila kwa sasa ni Ten hag na Ateta.
Umemaliza Mkuu! Nadhani Mashabiki wengi wa UTD walikuwa wanataka ETH aendelee kuwemo na Sababu Mingi Umeziweka wazi, NIDHAMU, ACADEMY, MORALI, Ila kikubwa ambacho nadhani hajapata Sapoti ya Kutosha kukirudisha ni ile wanasema UTD DNA ila anaweza irudisha taratibu kwa Mazingira ya Uongozi Mpya,

Changamoto amepitia Kubwa naweza sema ni Uongozi wa Kimichezo Juu yake. Kuna Suala la Miundombinu ishu za Majeraha, Usajili, Nguvu kubwa ya Wachezaji toka kwenye Mikataba, Pamoja na Media

Poch, RDZ, Potter, ni walimu wa Timu za Kati, Huwezi enda tafuta Ubingwa nao labda ukubali wewe unatengeneza Project yako. TT Sijawahi Jua ni Mwalimu mzuri kwenye kitu gani! Leicester yenyewe ilifanya Maajabu na Mwalimu Mzoefu Ranieri.
 
Niliipenda hii Timu kutokana na brothers tuliokuwa tukienda kua ngalia nao UEFA nikiwa yanki....

Nimekuwa, nimepata ugonjwa wa Sonona! kwaajili ya hili liTimu!
 
Umemaliza Mkuu! Nadhani Mashabiki wengi wa UTD walikuwa wanataka ETH aendelee kuwemo na Sababu Mingi Umeziweka wazi, NIDHAMU, ACADEMY, MORALI, Ila kikubwa ambacho nadhani hajapata Sapoti ya Kutosha kukirudisha ni ile wanasema UTD DNA ila anaweza irudisha taratibu kwa Mazingira ya Uongozi Mpya,

Changamoto amepitia Kubwa naweza sema ni Uongozi wa Kimichezo Juu yake. Kuna Suala la Miundombinu ishu za Majeraha, Usajili, Nguvu kubwa ya Wachezaji toka kwenye Mikataba, Pamoja na Media

Poch, RDZ, Potter, ni walimu wa Timu za Kati, Huwezi enda tafuta Ubingwa nao labda ukubali wewe unatengeneza Project yako. TT Sijawahi Jua ni Mwalimu mzuri kwenye kitu gani! Leiceter yenyewe ilifanya Maajabu na Mwalimu Mzoefu Ranieri.
Binafsi kabla ya kutwaa ubingwa sikupenda abaki kutokana na mpira tuliokuwa tunacheza hasa mechi nyingi za round ya pili. Nimebadili mawazo na kuomba abaki kwa sababu kuu mbili:
ya kwanza ni kumpa motisha kwa ajili ya furaha aliyotupatia dakika za lala salama ukilinganisha na tabu tuliyopitia karibia msimu mzima. Ya pili ni walimu mbadala waliokuwa wanahusishwa kuchukua nafasi yake kuwa na viwango vya kawaida sana. Ni heri yeye ambaye alishakuwepo na anajua uelekeo wa timu hadi sasa.
 
Hii habari imenifurahisha sana. Kamwe sikuwahi kuwa na mashaka na Ten Hag. Kwangu mimi ndio kocha bora utd kumpata baaada ya Sir Ferg. Nasema hivyo kwa sababu anatabia na falsafa fulan kama za Sir Ferg ambazo ndio ziliifikisha utd pale ilipo.

Kwanza hacheki na kima na haangali jina la mchezaji, awe mkubwa awe mdogo akizingua anamzingua na anamuondoa kwenye timu au kupiga mnada Ole guna alikuwa kocha mzuri hili lilimshinda na alikuwa na kijitabia cha ubaguzi kwa baadhi ya wachezaji kwa kuwanyima nafasi, huwezi kuwa na Cavan benchi halafu Martial anacheza dakika 90 na hakupi matokeo vivyo hivyo kwa Igalo dhidi ya Martial. Erick kawanyoo
sha mfano Ronaldo, Pogba kuuzwa Sancho kutolewa kwa mkopo na Maguire kuvuliwa ucaptain.

Pili anaibua vijana kutoka academy hii inaonesha anajua kufundisha mpira na hichi kitu ndio mafanikio ya utd. Vijana wa academy siku zote ni wafia timu. Tatu ni kocha wa vikombe, pamoja na wakati mgumu aliyepitia katika misimu yake miwili kachukua vikombe viwili hii inaonesha ana uwezo wa kuchukua kombe katika mazingira yeyote.

Kilicho mgharimu Ten hag ni majeruhi ya muda mrefu ya wachezaji wake muhimu hasa aliyewasajili wamekuwa wakipishana kwenye majeruhi na hii ilimuharibia mipango yake toka msimu wa kwanza na kubadilisha hata style ya uchezaji. Kuna kipindi Casemiro akiwa kiungo tegemeo wa timu alipata majeruhi ya muda mrefu mara makadi mekundu timu ikaanza kudrop point ikiwa kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.

Kuna wakati Luca Show,Varane, Malacia ,Bisaka wote kwa pamoja walikuwa majeruhi lakini bado timu ilipambana. Unakuta timu inastraika kama Martial tena majeruhi, winga mvivu kama Sancho na Rashford lakini bado jamaa alipambana. Mimi naami jamaa kafanikiwa sana hasa kwenye nidhamu ya timu na kuwapa hamasa vijana hii imewapa alert wakubwa hasa wavivu kama Rashford. Naamini kuanzia msimu ujao utd itaanza kuwa ya moto maana kutakuwa na ushindani mkubwa wa number na hata vijana wa academy wengi watapanda hivyo wazee wakae chonjo. Naona kabisa utawala wa City ya Pep na Liver ya Klopp unakaribia kuisha unarudi utawala wa utd na arsenal ila kwa sasa ni Ten hag na Ateta.
Kinyang'anyiro cha nn? labda cha miss tanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Manchester United are hoping to strike a deal with Everton for Jarrad Branthwaite after agreeing personal terms with the England defender’

United are also pursuing a deal for Leny Yoro despite fierce competition for the Lille centre-half.
============

Vyovyote itakavyokuwa dirisha hili ni lazima tupate mlinzi mwengine wa kati anayecheza upande wa kushoto (LCB).
 
INEOS have been in frequent contact with Jorge Mendes in recent weeks to explore deals for several players. Representatives of Mendes' agency Gestifute, who represent the likes of João Neves, Leny Yoro, António Silva and Rayan Aït-Nouri visited Carrington last week, as was first reported by
@SamC_reports

. Manchester United are particularly keen on Neves and Yoro, though will face significant competition for their signatures. Neither situation is considered advanced at this stage, nor have any formal bids been presented to their respective clubs.
 
We will begin work to modernise the men’s first-team building at Carrington next week.

The £50m project will see all areas of the building refurbished to deliver a world-class facility, creating a high-performance environment for players and staff.

#MUFC
1718447762913.png

🚨 EXCLUSIVE: Manchester United set to face Fulham on the opening day of the PL season! The fixture will take place at Old Trafford

Ratiba ya EPL season 2024/2025 imetoka mambo imeanza kuchemka.
 
Back
Top Bottom