Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,015
- 51,529
Correct kabisa msamila. Ndio kitu nilikuwa nasema hapa. Watu wanamtupia lawama pogba lakin kumbe kapangwa na watu wasio na viwango.
Mctominay anakuja vizuro.. lakin bado sana. Lingard ndio kabisa kiwango kimeisha. Wakuuzwa huyo
Mctominay anakuja vizuro.. lakin bado sana. Lingard ndio kabisa kiwango kimeisha. Wakuuzwa huyo
Pogba pale kati kawekewa Scott McTominay dogo ambae kwa kweli sio wa kumtegemea kukaba kwa mafanikio makubwa na hata kucheza nane bado pasi zake sio zile za mantiki yaani kifupi bado sana ana safari ndefu
Lingard afadhali dunia leo imemuona maana tuliokuwa tunamshambulia tulionekana tunabwabwaja
Crystal Palace - L
Chelsea - W