Naona Wolves kazi yao ni kupania tu vigogo

Spurs nao wame prove kwamba United kufungwa na Palace nyumbani haimaanishi ni wabovu kiivyo

Ngoja tujifariji
Ila Newcastle ni wazuri wale jamaa bas tu watu hamjataka kuwachunguza kiundan, wana yule almiron halafu Bruce anaweka viungo wengi kati, hivo wakikutangulia ,umekwisha

Spurz haisemwi tu ,ila msimu uliopita away alikuwa na form mbaya sana , japo Leo kapigwa kwake,

Leo kakosekana Ndombele ,Newcastle wamewazuia mwanzo mwisho.
 
Hata Palace msimu uliopita aliwasumbua vigogo, nahisi City na Liverpool

Newcastle msimu huu amewaruhusu Rondon na Ayoze Perez kuindoka kwa hiyo mbele hawana makali sana
 
Screenshot_20190825-222240.png
Washabiki wa Monaco wamesusia timu, au uwezo wa Stade Louis II ni idadi hiyo ya mashabiki? Matokeo ni muhimu.
 
Attachments

  • Screenshot_20190420-222911.png
    Screenshot_20190420-222911.png
    142.7 KB · Views: 16
Habari zenu wakuu..

i hope Machungu ya kipigo cha jana atakuwa yamepungua...nilipotea kidogo..Nina point Chache kulingana na ile mechi.

Points zangu ni zile zile za siku zote na Nashukuru kocha ameanza kuzifanyia kazi baadhi ya hizo.

1.DANIEL JAMES;
niliwahi kuzungumza humu zaidi ya mara tatu kwamba huyu dogo inapaswa Achezeshe kwenye natural position yake aliyozoea(LW).Kocha lifanya jambo lamaana kumrudisha ndo hadi akatusawazishia goli.

2.JESSE LINGARD;
Nashindwa kuelewa huyu mtu anafanya nini Man U mpk leo na yupo kwenye first 11daily..wkt tuna MATA,ANGEL GOMES,CHONG,GREENWOOD,PEREIRA Ambao wakipewa nafasi wanaweza kuperform kuliko yeye.

3.POGBA;
Narudia tena..pogba sio CDM..tunahitaji mtu wa kumfungua ,awe free ili afanye makeke yake,kuliko kubaki chini kama Ng'olo Kante..!

4;RASHFORD;
Ilikuwa ni penati muhimu sana..ni penate yake ya kwanza kukosa..SIMLAUMU.

NEXT MATCH; SOUTHAMPTON..ni opponent mgumu sana hasa akiwa nyumbani..but i hope tutaondoka na points tatu muhimu..

GGMU GGMU GGMU GGMU.
 
Yaan bora nyie mna Ole ana kikosi cha kwanza ,ila hana wachezaji wa maana kwa sehemu kubwa, sisi tuna kocha anaweka wachezaji nje anaanza na U21 , .

Bora ole unajua kabisa flan na flan wataanza.

Ole mpeni muda akisajiriwa wachezaji wazuri atawafikisha mahali husika, kwasasa lawama hazikwepeki kwa Edwoodward kushindwa kumletea wachezaji wa baadhi ya nafasi.
 
Habari zenu wakuu..

i hope Machungu ya kipigo cha jana atakuwa yamepungua...nilipotea kidogo..Nina point Chache kulingana na ile mechi.

Points zangu ni zile zile za siku zote na Nashukuru kocha ameanza kuzifanyia kazi baadhi ya hizo.

1.DANIEL JAMES;
niliwahi kuzungumza humu zaidi ya mara tatu kwamba huyu dogo inapaswa Achezeshe kwenye natural position yake aliyozoea(LW).Kocha lifanya jambo lamaana kumrudisha ndo hadi akatusawazishia goli.

2.JESSE LINGARD;
Nashindwa kuelewa huyu mtu anafanya nini Man U mpk leo na yupo kwenye first 11daily..wkt tuna MATA,ANGEL GOMES,CHONG,GREENWOOD,PEREIRA Ambao wakipewa nafasi wanaweza kuperform kuliko yeye.

3.POGBA;
Narudia tena..pogba sio CDM..tunahitaji mtu wa kumfungua ,awe free ili afanye makeke yake,kuliko kubaki chini kama Ng'olo Kante..!

4;RASHFORD;
Ilikuwa ni penati muhimu sana..ni penate yake ya kwanza kukosa..SIMLAUMU.

NEXT MATCH; SOUTHAMPTON..ni opponent mgumu sana hasa akiwa nyumbani..but i hope tutaondoka na points tatu muhimu..

GGMU GGMU GGMU GGMU.
Mechi hii tutafungwa pia man united kwa sasa haisumbui timu yoyote pale Epl
 
Back
Top Bottom