3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,882
Kwa hiyo timu itashuka daraja mkuu?..Mechi hii tutafungwa pia man united kwa sasa haisumbui timu yoyote pale Epl
Kwa hiyo timu itashuka daraja mkuu?..Mechi hii tutafungwa pia man united kwa sasa haisumbui timu yoyote pale Epl
Hao hao ndio wamekubali Fred aje united.. Alexis mapesa pia, lakini wanamkataa BRUNO kisa LINGARD anajua kunyonya vidole.Kama kweli utetezi wa man united kutomsajili Bruno Fernandez ni passing accuracy yake basi kuna tatizo mahali vichwani mwa wafanya maamuzi wa united.
Mm nauhakika Chelsea lazima amalize nafasi ya 8-10 ,Hii Man united itaishia nafasi ya saba..
Yani ao wote ulowataja watachezea kipigo nje ndani na wewe utashuhudia ..wewe ukimaliza ligi juu ya Chelsea bas itokee tu neema ya marefa na VAR iwe upande wenu..Mm nauhakika Chelsea lazima amalize nafasi ya 8-10 ,
Mwanzo kabisa wa msimu niliweka hoja zangu kule jukwaa lenu mkanikatalia , siku zinavyoenda unaanza kuelewa .
Norwich kakubana ukapata 3-2,
Everton, wolves ,Watford ambayo Ismail sarr ,welbek wameanza KUCHEZA, Leicester (huyu nilikuambia ukichoropoka Sare ) kweli ulipata sare, bornamouth , astonvilla , hawa ukikaza unaondoka na point 1 (sare) top6 wote utawagawia point 6 -4 ,
Inakuwaje anaruhusiwa kuondoka. Ikiwa Martial majeruhi yanamuandamaga, ?Sanchez to Inter Milan is a done deal.
Kushuka daraja ni ngumu ila inaweza kufanya vibaya kuliko last season.Kwa hiyo timu itashuka daraja mkuu?..
Hivi ni mchezaji gani Man u ana passing accuracy ya above 75% ukiondoa Pogba na Mata ?Hao hao ndio wamekubali Fred aje united.. Alexis mapesa pia, lakini wanamkataa BRUNO kisa LINGARD anajua kunyonya vidole.
Tuombe majeruhi kwa key player wetu yapite kushoto japo yameanza yasizidi sana... Tutachonga viazi kwa wale watoto kuziba nafasi.
January wasilete upuuzi waongeze watu.
Uwepo wa Sanchez kutokuwepo kwake haina tofauti yoyote.Ole ole olesendeka. Huyu kocha sijui anatumia ubongo gani. Sasa martial kaumia na yeye anamuuza sanchez, ili forwad awe greenwood. Hahaaaà, ngoja tukae kimya
January Ole asipofanya maamuz magumu kuleta wachezaj atleast wawili top4 hataisikia tu, nilishangaa sana ni kwa vip akumsajiri Eriksen, jamaa ana assists na ku'score, yaan kila nikimuona Lingard kwenye list uwa namkumbuka Eriksen, timu yetu ina uingereza mwingi, ila binafsi baada ya kuondoka mzee Ferg aya niliyatarajia lazima tupite kipind kigumu sana mpaka kuja kukaa sawaHao hao ndio wamekubali Fred aje united.. Alexis mapesa pia, lakini wanamkataa BRUNO kisa LINGARD anajua kunyonya vidole.
Tuombe majeruhi kwa key player wetu yapite kushoto japo yameanza yasizidi sana... Tutachonga viazi kwa wale watoto kuziba nafasi.
January wasilete upuuzi waongeze watu.
Tuendelee kujikumbushaTujukumbusheView attachment 1191670
Ole ole olesendeka. Huyu kocha sijui anatumia ubongo gani. Sasa martial kaumia na yeye anamuuza sanchez, ili forwad awe greenwood. Hahaaaà, ngoja tukae kimya
Timu imekwisha hii. Kama tukimaliza hata nafasi ya sita msimu huu basi ni sawa na ubingwa kwetu. Hivi Ole anategemea Greenwood amsaidie amalize top4? Kweli ndio maana Zlatan anatamani kurudi kuisaidia timu. |