Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Ukitoka hapo uwe na akiba ya manenoChelsea mmeshapata nguvu ya kuzurura kwenye majukwaa ya watu baada ya ushind wa 3-2 dhid ya Norwich ,kweli maisha yanaenda kasi sana
Ukitoka hapo uwe na akiba ya manenoChelsea mmeshapata nguvu ya kuzurura kwenye majukwaa ya watu baada ya ushind wa 3-2 dhid ya Norwich ,kweli maisha yanaenda kasi sana
Wewe timu huna ,Norwich anakutoa kamas vile?Ukitoka hapo uwe na akiba ya maneno
Ananitoa kamasi au nilitaka kumuua. Nataka nije nikutane na katimu kako nikadundeWewe timu huna ,Norwich anakutoa kamas vile?
Hakuna lolote..ni kama tu hayuko uwanjani sema sheria ni wachezaji 11 tu kwa timu moja.Bolingoli yupo uwanjani..mnaocheki mtatupa feedback
Hakuna lolote..ni kama tu hayuko uwanjani sema sheria ni wachezaji 11 tu kwa timu moja.
Tulia ulambe dawaHakuna lolote..ni kama tu hayuko uwanjani sema sheria ni wachezaji 11 tu kwa timu moja.
Bolingoli yupo uwanjani..mnaocheki mtatupa feedback
Conte ni kocha mzuri sana ..atamfikisha mbali LukakuTulia ulambe dawaView attachment 1190826View attachment 1190827
Huna timu ya kupata hata droo kwa top 6Ananitoa kamasi au nilitaka kumuua. Nataka nije nikutane na katimu kako nikadunde
Nikimaliza namba 10 utamaliza 11. Nikimaliza nne utamaliza namba 5. Mark my words. Ngoja mechi za mchangani za Alhamis zianze ndo utajua.Huna timu ya kupata hata droo kwa top 6
Nafas ya 10 yenyewe upambane
Hata spurs kachapwa kwake
Tulia ulambe dawaView attachment 1190826View attachment 1190827
Sema match itakua ngumu kidogo ila tunashinda kwa maana hata kwenye kubet amepewa odd 2 man uHabari zenu wakuu..
i hope Machungu ya kipigo cha jana atakuwa yamepungua...nilipotea kidogo..Nina point Chache kulingana na ile mechi.
Points zangu ni zile zile za siku zote na Nashukuru kocha ameanza kuzifanyia kazi baadhi ya hizo.
1.DANIEL JAMES;
niliwahi kuzungumza humu zaidi ya mara tatu kwamba huyu dogo inapaswa Achezeshe kwenye natural position yake aliyozoea(LW).Kocha lifanya jambo lamaana kumrudisha ndo hadi akatusawazishia goli.
2.JESSE LINGARD;
Nashindwa kuelewa huyu mtu anafanya nini Man U mpk leo na yupo kwenye first 11daily..wkt tuna MATA,ANGEL GOMES,CHONG,GREENWOOD,PEREIRA Ambao wakipewa nafasi wanaweza kuperform kuliko yeye.
3.POGBA;
Narudia tena..pogba sio CDM..tunahitaji mtu wa kumfungua ,awe free ili afanye makeke yake,kuliko kubaki chini kama Ng'olo Kante..!
4;RASHFORD;
Ilikuwa ni penati muhimu sana..ni penate yake ya kwanza kukosa..SIMLAUMU.
NEXT MATCH; SOUTHAMPTON..ni opponent mgumu sana hasa akiwa nyumbani..but i hope tutaondoka na points tatu muhimu..
GGMU GGMU GGMU GGMU.
Ni kweli match itakuwa ngumu sana mkuu..ila naona tukifanya mabadiliko itasaidia kdg..Sema match itakua ngumu kidogo ila tunashinda kwa maana hata kwenye kubet amepewa odd 2 man u
Sema match itakua ngumu kidogo ila tunashinda kwa maana hata kwenye kubet amepewa odd 2 man u