Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezinitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
- kama wilfred zaha akirudi manchester united
- kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo