Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi bosi.
City ipo vzr na pep kapewa £200m
Utd na majanga ayo kapewa kiasi iko iko.
Sielewe vzr wanaposema utd ni timu kubwa na yenye mkwanja.
ujinga na upumbavu wetu ndio unaanzia hapo, mwanzo nilidhani timu yetu haina utofauti mkubwa sana na manchester city kwa kufanya mlinganisho wa wachezaji.
kwa sasa nimejifunza ya kwamba timu yetu muda si mrefu itazidiwa hata na arsenal kwa kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
real madrid wameweka takribani euro millioni 500 kwa ajili ya usajili msimu huu, kiupande wetu tumeweka paundi millioni 200.
hii pesa ingelitosha kama bwana OGS angelimaliza msimu akiwa tayari ameshajenga msingi mkuu wa timu kiuchezaji.
 
Sajirini vipaji kama hivi, sio wapiga hela wasiojituma
Screenshot_2019-05-18-13-39-08.jpeg
 
Sajirini vipaji kama hivi, sio wapiga hela wasiojitumaView attachment 1101207
mzee wenger aliwasajili wengi sana kama hao na hatimaye aliishia kugombania nafasi ya 4 kila mwaka.
sessegnon hafanani hata kidogo na bernardo silva au leroy sane.
Hirving Rodrigo Lozano yupo PSV hajapata offer yoyote mpaka muda huu
 
Kwa sasa bora mgeukiwa potential kama hawa ,hata liver alifanya hivi ,kuliko kukimbiliwa wachezaji wanao demand high wages halafu ubishoo mwingi
 
Kwa sasa bora mgeukiwa potential kama hawa ,hata liver alifanya hivi ,kuliko kukimbiliwa wachezaji wanao demand high wages halafu ubishoo mwingi
upo sahihi
mara nyingi wachezaji mabishoo wanakuwa wale ambao wameshaanza kuonja umaarufu mfano paul pogba.
wapo wengine wanavipaji na bei yao sokoni ni ya gharama na bado ukiwasajili hawatakuangusha.
mbona guardiola anafanikiwa jamani.
 
Ni kweli hata anaowachukua pep ndio hao hao potential, sema city huwa hawapend kubargain bei ndio maana huwa akienda akiambiwa 50 ,anatoa, ila wachezaji wa pep ni potential au wenye vipaji wanaochipukia ,
 
upo sahihi
mara nyingi wachezaji mabishoo wanakuwa wale ambao wameshaanza kuonja umaarufu mfano paul pogba.
wapo wengine wanavipaji na bei yao sokoni ni ya gharama na bado ukiwasajili hawatakuangusha.
mbona guardiola anafanikiwa jamani.
Kuna watu kama ERIKSEN, MADDISON, LOZANO, VAN BEEK
DIOGO JOTA, GHANA, ZAHA, WAN-BISSAKA, ZYECH, FILLIPE ANDERSON.
 
Hili tangazo huwa nalikubali sana.

Jamaa haamini kabisa kilichotokea,alivunjika moyo.

Nakumbuka fainali ya Eufa champions ya 15/16 Atletico Madrid vs Real Madrid, kuna mjeda mmoja aliingia kwa ukumbi na begi la Heineken akatugawia wadau wapembeni tuburudike na UEFA champions.
Tumefanya uzembe ..mimi nitabaki kuangalia uefa labda wenzangu mtaifata timu europa hukoView attachment 1100259
 
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake

Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Dunia ya leo hakuna waingereza wapambanaji kama enzi za kina Wazza, Beckham, G. Neville, Rio n.k.

Hawa wa sasa wapo busy ku-dab tu. Hakuna la maana.
 
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake

Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Mkuu,

Umeshausoma waraka wa Antonio (Kwa picha Juu kwako)..??

Ameelezea kwa Ufupi(& maisha duni nyumbani) Historia yake ya Mpira toka Eq Mpaka England Man United Fc.

Huku akijikubali sana kama fighter,hata mimi naungana jamaa ni fighter sana mpambanaji (kukata tamaa Mwiko).

Huku mechi ya kumbukumbu kwake iliyopo kichwani kwake ikiwa mechi ya Bayern vs Man United UEFA champions nadhani msimu 09/10,tuliondolewa na bayern,anadai Rio na VDS walikuwa viongozi kwelikweli hakuna kukata tamaa timu...kila kitu kinawezekana Uwanjani.

Antonio katupatia Epl 2,

Antonio ni moja ya wachezaji waliokuwa na Aleji na lugha ya kiingereza (Hakupenda kujifunza/Uwezo Mdogo/Uwoga).

SAF aliwahi kusema kujifunza lugha mpya lazima Uwoga uweke pembeni na utie bidiii.(S.Verone alijaribu kujifunza akaambulia patupu yeye ilikuwa ni Morning sir,Yes,Okay & No)

Antonio Miaka zaidi ya kumi Epl walau hajisumbui na lugha ya kiingereza.
 
Hizo paundi million 200 heri utumie kununua wachezaji wa nje ya uingereza utapata talent nzuri na wengi tu
Amerika kusini, mashariki ya mbali, uholanzi, ureno unakusanya wachezaji hata 10 unawaleta pale OT na mishahara kama ya Samatta.

Wachezaji wa kingereza utaishia kuwanunua wawili tu.
 
Kwani hawawezi pelekwa kwa mkopo?
Ni ngumu kuwaondoa kwa mkopo defenders wawili kwa wakati mmoja ilhali ndani unabaki na defender mmoja Lindelof.

Mchezaji anapelekwa kwa mkopo ili akapate game time ya kutosha akue na ajifunze sasa ukimpeleka Jones na smalling unataka wakaongeze nini.wakati wako mwisho wa career ?

By the way Man u haitasajili zaidi ya central defender mmoja hivyo hao watakuwepo na watatuchomesha sana tu na msimu ujao.
 
Back
Top Bottom