Kwa mtu makni ukiangalia makocha hawa utagundua kitu....Van Gaal, Ole, kocha wa Baca na kocha wa ajax, kocha wa PSG, allegrin pia anafall kwenye category hii, yaani wapo kapu moja, ni one way direction, walivyofungulia ndivo wanavyomalizia, hawana turning back option,....labda itokee by default.
Kwa soka la sa hv moja ya sifa kuu ya kocha ni kugundua tatzo mapema na kulifanyia kazi wakati game inaendelea....Kocha yyte anayekosa hii sifa ni ngumu sana kusurvive kwenye stiff competition, watu wanaweza kukubadilikia dk sifuri tu ukachapika goal tano huku unaangalia.......