1. kama wilfred zaha akirudi manchester united
  2. kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake

Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
 
kane?
sancho?
kwa paundi millioni 200 mkuu haiwezekani.
 
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
ni ngumu sana kuacha starehe pendwa mkuu, binafsi nafahamu siwezi kuacha mara moja kuifuatilia manchester united just nimeonyesha msisitizo wangu wa kutokufurahishwa na hali iliopo klabuni kwa sasa.
 
Usikate tamaa hivyo Mkuu.
Mimi EPL nina Tottenham kama back up siyo hao rival wetu
hahahahaaa rival my ass.
majogoo kila mchezaji aliyesajiliwa na jurgen klopp amegeuka dhahabu.
kiupande wetu kila mchezaji tunayemsajili anafanya vizuri nusu msimu.
kama si laana inayotukabili muda huu ni kitu gani jamani.

lukaku anaonekana amechoka wakati last season alifunga magoli mechi takribani tano mfululizo.
nemanja matic alikuwa onfire but now hakuna anamyetamani.
eric bailly yuko hoi.
antony martial anatia huruma, wakati msimu uliopita pamoja na rashford walikuwa wanashindana kwa kufunga mwanzoni mwa msimu, akianza rashford raha akitokea benchi full raha
only zlatan ibrahimovic ndio usajili wa maana tulioufurahia matunda yake haijalishi kwa sasa hayupo tena klabuni.

dah nimezikumbuka kelele zetu za 4G nyakati zile
 
Hizo paundi million 200 heri utumie kununua wachezaji wa nje ya uingereza utapata talent nzuri na wengi tu
tunakosa utulivu kwa sasa ndio maana kila tunachokishika kinageuka madini ya shaba.
nadhani pia ni muda muafaka kwa bwana ole na benchi lake la ufundi waachane na soka la kiingereza japokuwa ndio utamaduni wetu wa kila siku na ndio style iliotupa mafanikio chini ya gaffer.
 
  1. kama wilfred zaha akirudi manchester united
  2. kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Utd is sinking.
Kimbia mkuu
Welcome to city mtaa wa pili tu .
kweli inaonyesha kwako bora l'pool kuliko city ,au kuwa mshabiki wa mpira usie na timu.

ddccd36466604b78679c74bb7dd52322.png
 
Timu imepoteza mwelekeo
hahahahaaa rival my ass.
majogoo kila mchezaji aliyesajiliwa na jurgen klopp amegeuka dhahabu.
kiupande wetu kila mchezaji tunayemsajili anafanya vizuri nusu msimu.
kama si laana inayotukabili muda huu ni kitu gani jamani.

lukaku anaonekana amechoka wakati last season alifunga magoli mechi takribani tano mfululizo.
nemanja matic alikuwa onfire but now hakuna anamyetamani.
eric bailly yuko hoi.
antony martial anatia huruma, wakati msimu uliopita pamoja na rashford walikuwa wanashindana kwa kufunga mwanzoni mwa msimu, akianza rashford raha akitokea benchi full raha
only zlatan ibrahimovic ndio usajili wa maana tulioufurahia matunda yake haijalishi kwa sasa hayupo tena klabuni.

dah nimezikumbuka kelele zetu za 4G nyakati zile
 
Nafikiri bado top layers hawajasoma nyakati
tunakosa utulivu kwa sasa ndio maana kila tunachokishika kinageuka madini ya shaba.
nadhani pia ni muda muafaka kwa bwana ole na benchi lake la ufundi waachane na soka la kiingereza japokuwa ndio utamaduni wetu wa kila siku na ndio style iliotupa mafanikio chini ya gaffer.
 
  1. kama wilfred zaha akirudi manchester united
  2. kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Ha ha ha ha bro hata wakifanya hivyo usihame yatakwisha tu. Kuna wakati mtu unajuta kuupa mpira nafasi kubwa halafu unakutana na mi in charge kama Ed Woodward
 
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake

Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Hawa akina Bissaka basi tu,ningekuwa na uwezo ningepiga risasi wapotee. Kiukweli wachezaji Wa kiingereza wanapambwa zaidi na Media kuliko uhalisia wao
 
Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi

Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake

Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
wapo wanaonivutia kiuchezaji kama vile:
james maddison kutoka leicester city.

jamie vardy kwa ligi ya uingereza ana uhakika wa kukupa magoli 10 kila msimu, anafaa kuwa backup striker kwa wakati huu tunaomsubiria greenwood aje ampindue rashford, nafahamu ana miaka 32 lakini bado si kigezo cha kumdharau kwa uwezo alionao. Shida yetu kubwa kwa sasa ni ligi ya uingereza na vardy ameshathibitisha ubosi wake pale england dhidi makipa wa timu pinzani.

wan bissaka amekazana sana kwenye ulinzi lakini kwa dunia inavyokwenda tunahitaji mlinzi mwenye sifa zaidi ya kujilinda, angalia liverpool jinsi wanavyotamba msimu huu kupitia walinzi wao wa pembeni. Nilitegemea diogo dalot ataletaa ushindini mkubwa sana msimu huu lakini cha kusikitisha hajaonyesha kama ana uwezo wa kumpindua hata ashley young msimu ujao.
wan bissaka ametenegeneza nafasi tatu za magoli msimu huu na hajapiga shots on target hata moja.
 
Back
Top Bottom