Na huyu tena?😂😂😂

wachezaji wa Man u ni mabitozi mkuu, wanacheza na jukwaa wengi. Hapo ndipo uwezo wao ulipoishia, waoga hawajiamini hata kidogo.
Tatizo kuu ni kocha, Ole hakuleta kitu kipya zaidi ya kutembelea kivuli cha Furgie
Van Gal kama mwezi uliopita alisema Ole hakubadilisha kitu, mfumo ni ule ule wa Mou wa kupaki mabasi na kuvizia ku counter attack. Wins zote walizopata under Ole ni kwa njia hiyo. Sasa wameshtukiwa na hio mbinu don't work any more
 
Man united imebaki jina tu kwa sasa na mashabiki wake kujitamba kwamba timu yao nzuri,wanamsifia de gea hata kama anafungwa magoli ya kizembe

Aibu hii leo sijui mnaificha wapi? Safari hii lawama sijui mtampa nani mourinho kawaachia timu yenu.
 
FT: 4-0
Kocha sasa inabidi ajifunze hapa..hiki kikosi cha kipindi cha pili ndio kikosi cha kwanza Man U kwa sasa...ukiondoa ujinga ujinga wa Dalot&Martial, kikosi hiki ndicho kinatakiwa kianze Jamatano dhidi ya City.
 
Kimepiga shuti moja kipind cha pili
 
Back
Top Bottom