Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

rsenal starting XI: Leno, Jenkinson, Mvropanos, Mustafi, Koscielny, Kolasinac, Elneny, Guendouzi, Ozil, Lacazette, Aubameyang
Subs: Cech, Monreal, Maitland-Niles, Torreira, Mkhitaryan, Iwobi, Nketiah
...duh!
Elneny na Guendouzi ni gundu!! Leo balaa.
 
Kuna tatizo kwa wachezaji na pia lipo tatizo kwa Manager hasa sub alizifanya hazikuzungatia performance ya kipindi cha kwanza.

Kipindi cha kwanza Pogba,Matic & Jones walikuwa passangers sijui kwanini Ole alishindwa kakimbilia kuwatoa wachezaji wengine kashindwa kuwatoa underperforming players.
 
Leo tu?


Nitafutieni alieandika haya Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu
Hatuna world class players
Hivi kweli lingard, smalling, jones, fred, sanchez, matic etc wanaweza kutupa epl kweli???

Achen kukuza sana wachezaji wetu ni wa kawaida mno huyo rashford media ya england imemkuza mpaka anajiona cr7 wakati hakuna kitu he is just another average english player huyo martial ndo mpuuzi wa kutupwa hajutumi hakabi anapiteza mipira anakaa tu sehemu yake anakosa magoli ya wazi etc lakin kuna wapumbavu huku wanaweza sema martial ni level za kina hazard, mane, sterling nk lukaku nae hana ata first touch nzuri hajui kucontrol mpira hajui kujiposition hajui kupiga pasi nk yaani kidogo ata yy anapambana kidogo anaonekana etcetc

KWA SASA NI POGBA TU NA DEGEA NDIO WACHEZAJI WETU WANAOWEZA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MANCITY, BARCA , LIVERPOOL ETC SASA HII SI AIBU YAANI UNATAKA KUBEBA EPL AU UEFA HUKU UNAWACHEZAJI WAWILI TU BORA WENGINE WOTE TISA NI UCHAFU
Mkuu kwakweli hujamtendea haki Shaw kwangu mimi ndo mchezaji pekee anastahili kuwa Man u huyo pogba hana attributes kabisa hajali timu imefungwa passion hamna
 
Ni kweli. Kabisa unachosema mkuu.. yaan ubahili na uingereza utawatesa sana man u. Kwanini?
Sababu ed woordward alionywa na mou kuhusu usajili.. akawa mbishi ..leo asitafute mchawi.

Tabia ya kukumbatia waingereza inaumiza team. Smalling jones young rushford.. hawa watu hawana vipaji.
Hii kitu iliifanya liverpool ididimie kwenye soka sababu ya kuukumbatia uingereza. Ona team yaoilivyobadilika sasa.

Man u wapigwe tu mpaka wachakae
Alisajili hao kwa sababu hakupewa pesa ya wachezaji anaowataka
 
Kuna tatizo kwa wachezaji na pia lipo tatizo kwa Manager hasa sub alizifanya hazikuzungatia performance ya kipindi cha kwanza.

Kipindi cha kwanza Pogba,Matic & Jones walikuwa passangers sijui kwanini Ole alishindwa kakimbilia kuwatoa wachezaji wengine kashindwa kuwatoa underperforming players.
Pogba huwaga yupo juu ya timu mzee
 
One day you will admit Jose was right manager for United ,Woodward made big mistake to not support him

Kwa upande wa Jose nakubaliana na Woodward nadhani tulifanya haraka kumfukuza Van Gaal kwasababu kipindi chake team ilianza kushambulia na pia aliwapa nafasi makinda.

Kumbuka Jose alipewa nafasi ya kusajili Baily na Leondof bado akataka asajili CB mwingine !.
 
Back
Top Bottom