msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,211
- 7,738
Duu
Lakini wachezaji wengi pale aliwasajili yeyeMtajua na mtaelewa MOU alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akisema man u hamna wachezaji wa maana
Dah mkuu unawachokoza au umechanganya majukwaa hahahahrsenal starting XI: Leno, Jenkinson, Mvropanos, Mustafi, Koscielny, Kolasinac, Elneny, Guendouzi, Ozil, Lacazette, Aubameyang
Subs: Cech, Monreal, Maitland-Niles, Torreira, Mkhitaryan, Iwobi, Nketiah
One day you will admit Jose was right manager for United ,Woodward made big mistake to not support himTuna matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri,bora tucheze tuanze upya mpira tunaocheza ni hovyo kuliko maelezo.
Hahahaha nimpatie amaa ...hahahaMkuu nenda beach, tutakupa matokeo
Au yakiwa mabovu, Ollachuga atakupatia
Alisajili hao kwa sababu hakupewa pesa ya wachezaji anaowatakaLakini wachezaji wengi pale aliwasajili yeye
Kanogewa humu , kadhan yupo uz wa arsenalDah mkuu unawachokoza au umechanganya majukwaa hahahah
Hahahahaha mzee baba wa Piga mbuzi hawa ushatia timuu...Piga mbuzi hawa
Uyo ashaichoka timu banaa..toeni hata bure tuuGoalkeeper David Kalegea sana siku hizi. Chukueni kifurushi toka Real Madrid.
Unakuja maiti ishaanza kunukaHahahahaha mzee baba wa Piga mbuzi hawa ushatia timuu...