FT: 4-0
Kocha sasa inabidi ajifunze hapa..hiki kikosi cha kipindi cha pili ndio kikosi cha kwanza Man U kwa sasa...ukiondoa ujinga ujinga wa Dalot&Martial, kikosi hiki ndicho kinatakiwa kianze Jamatano dhidi ya City.
Mpatie sasa MkuuHahahaha nimpatie amaa ...hahaha
Fagason aliyekuwa anaogopwa na marefa hayupo tena. Man U ndo ishakuwa historia... trust me...
Kwa pliersHayo maumivu nizaidi ya uchungu wa kutoa jino😀😀😀😀😀
Bado April 24 aisee mmasai atapandisha mori *****
Kwa pliers
Kuna tatizo kwa wachezaji na pia lipo tatizo kwa Manager hasa sub alizifanya hazikuzungatia performance ya kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza Pogba,Matic & Jones walikuwa passangers sijui kwanini Ole alishindwa kakimbilia kuwatoa wachezaji wengine kashindwa kuwatoa underperforming players.