Hakutakua na dharau tena. Wakishinda wanaona wamekamilika zinaanza kejeli na dharau.
Hahaaaaa kwann mkuu
Cheki hii.
IMG_20190421_170134_155.jpeg
 
rsenal starting XI: Leno, Jenkinson, Mvropanos, Mustafi, Koscielny, Kolasinac, Elneny, Guendouzi, Ozil, Lacazette, Aubameyang
Subs: Cech, Monreal, Maitland-Niles, Torreira, Mkhitaryan, Iwobi, Nketiah
 
Leo tu?


Nitafutieni alieandika haya
Wachezaji wanazingua
Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu
Hatuna world class players
Hivi kweli lingard, smalling, jones, fred, sanchez, matic etc wanaweza kutupa epl kweli???

Achen kukuza sana wachezaji wetu ni wa kawaida mno huyo rashford media ya england imemkuza mpaka anajiona cr7 wakati hakuna kitu he is just another average english player huyo martial ndo mpuuzi wa kutupwa hajutumi hakabi anapiteza mipira anakaa tu sehemu yake anakosa magoli ya wazi etc lakin kuna wapumbavu huku wanaweza sema martial ni level za kina hazard, mane, sterling nk lukaku nae hana ata first touch nzuri hajui kucontrol mpira hajui kujiposition hajui kupiga pasi nk yaani kidogo ata yy anapambana kidogo anaonekana etcetc

KWA SASA NI POGBA TU NA DEGEA NDIO WACHEZAJI WETU WANAOWEZA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MANCITY, BARCA , LIVERPOOL ETC SASA HII SI AIBU YAANI UNATAKA KUBEBA EPL AU UEFA HUKU UNAWACHEZAJI WAWILI TU BORA WENGINE WOTE TISA NI UCHAFU
 
Back
Top Bottom