Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,933
- 29,718
Lazima waelewe kuwa.. hata kocha atoke mbinguni. Kwa wachezaji wa aina ile hawatakaa wafike kokote.
Mtajua na mtaelewa MOU alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akisema man u hamna wachezaji wa maana