Mrudishe gill huyo
Screenshot_20190419-122104.jpeg
 
tatizo sio kusajili wachezaji wa paundi milioni 150 tatizo ni kusajili wachezaji bora.

mfano mzuri Liverpool ukimtoa Keita, Van Dijk na Allison hakuna mchezaji alivuka paundi mil 50
nenda Dortmund, Ajax, Spurs, Tico Tico wana timu nzuri kuliko United inayonunua wachezaji mapaundi kwa mapaundi lakini ukiangalia wachezaji na bei walionunuliwa unabaki mdomo wazi.

expensive does not guarantee
Utd wanafanya kitu inaitwa "panic purchase" hawana scrutiny nzuri ya wachezaji kabla ya kuwanunua pia wananunua dakika za lala salama hivyo kupigwa Bei 3* ya uhalisia wa mchezaji,
Kwasasa Utd hakuna team Kuna kundi la wachezaji......
 
1.Manchester City FA finalist
2.Spurs CL semis
3.Liverpool CL semis
4.Arsenal EL semis
5.Chelsea EL semis
6.Manchester Unite 6 floor....
 
Do you think the structure is good enough for the summer? There’s been a lot of criticism over the years

"I don’t know if all these critics know what’s happening, we’ve got scouts scouring the planet for good footballers and we’ll sign players we think is the right fit, personality wise price wise quality wise and can you have longevity at this club and I’m confident we’ll get the right players"

Ole anatuaminisha Sana kuhusu usajiri tunamsubiri sana July tuone atakuwa amefikia wapi
 
On Martial
Is Anthony Martial one of those who needs a reality check?

I’ve spoken to individuals and they know and Anthony is one I’ve spoken to, what we expect from them, Anthony’s got a massive talent, got a new contract he knows we believe in him, so just keep working.

When you see the likes of Mane, Firmino, Salah etc does he need to be able to deliver more consistently on goals?

I think anyone that plays for MU has to deliver, to stay in the squad and stay in the team and Anthony is no different to Rashy or Rom or Alexis or the many forwards we have to choose form and that’s the great thing about it now it’s down to players, ownership they take coming back pre-season but I don’t wanna talk about pre-season now.
 
lichezaji livivu linalipwa paun 200k.....tukifanikiwa kusajili wahuni wapiga kazi atakimbia kilazima na kukaba kilazima
 
Sipati picha tulipokuwa kwenye robo fainali ulikuwa unaumiaje... Kweli Manchester United inaumiza wengi... Na bado next season tunanunua world class player watano sijui mtaacha kutizama soccer
 
Utd wanafanya kitu inaitwa "panic purchase" hawana scrutiny nzuri ya wachezaji kabla ya kuwanunua pia wananunua dakika za lala salama hivyo kupigwa Bei 3* ya uhalisia wa mchezaji,
Kwasasa Utd hakuna team Kuna kundi la wachezaji......
Manchester hamna timu pale sa hv, pale kuna genge la wacheza kamari, hakuna mikakat yyte, wanabahatisha sana mambo, kuna wajuaji wengi sana kisa hapo zaman et walikuwa key success ya timu .....mchawi mkubwa pale United ni Edwoord na Ferguson, ...... Bila hao kutoka timu haiwezi fika popote
 
Sporting Director

Director of Football

Technical Director

Sijui Glazers na Ed wanawaza nini? It is almost May, baadhi ya dili za kusajili na kuuza wachezaji zilipaswa kuwa kwenye hatua za mwisho lakini mpaka sasa banker Ed ndio Sporting Director wetu (funny but not funny)

Kiuhalisia, baada ya Jose kuondoka, usajili wa kwanza ilibidi uwe wa Sporting Director lakini naona Ed anapiga mark time tu

Nimeanza kuelewa kwanini ile miaka ya 2000 mashabiki wa United walikuwa wana protest ili Glazer asiuziwe timu
 
Wakuu hii team ya kina khadija kopa inacheza lini nime miss kuona pogba akiangalia camera na kulaumu refa
 
Manchester hamna timu pale sa hv, pale kuna genge la wacheza kamari, hakuna mikakat yyte, wanabahatisha sana mambo, kuna wajuaji wengi sana kisa hapo zaman et walikuwa key success ya timu .....mchawi mkubwa pale United ni Edwoord na Ferguson, ...... Bila hao kutoka timu haiwezi fika popote
Edwoordward hamna kitu. Kuna mtu nyumayake anaitwa david gill. Huyu ndio alikuwa kiungo muim kwenye usajili. Ndio amewaleta akina christian na wachezaj wengine wakali. Ila tangu aondoke.. man u haijawah kupata mchezaji wa maana.

Kama man u wangekuwa hawana uhakika basi sijui unaita genge la wahuni. Leo hii wangekuwa wanashuka daraja
 
Hahaaaaa Ole sendeka alienda camp nou kuwasoma Barca, kapoteza nauli yake hela ya gesti na chakula na bado akaambulia kipigo

Inshort Hakuna timu ama kocha anaeweza kuusoma mchezo wa Barcelona ikiwa Messi yumo uwanjani...utaweza kuisoma Barca ama falsafa ya kocha wa Barca ikiwa Messi hayumo uwanjani kwa maana Messi ndie anaebadilisha mchezo na ndie anaecontrol timu yake na timu pinzani...na muogope sana mchezaji anaeweza kuicontrol presha ya timu yake na presha ya timu pinzani

cc; Mc cane
hahaha mkuu itabidi Liverpool aonje machungu ya Manure ..maana nao wanatamba sana ..wanaleta vigezo vya As Roma kumtoa Barca ..sasa wanadhani na wao watafanya ivyo hahaha ..In Messi We Trust
 
Ungejua Washabiki original wa Chelsea na Arsenal walivyochukia Spurs kupita

Hata usingekuja kutamba hapa kuhusu mambo ya London
Mkuu unamaanisha mimi sio fan OG wa Chelsea? Au ili niwe OG basi niichukie Tottenham.?

Mimi kama Chelsea fan nataka Spurs afike mbali uefa..
 
Now this quote have surfaced to reality "If you cant beat them join them"
Mimi nne join kwa Spurs kwa sababu ni ya London ..majirani zetu hawa sio vibaya wakatuwakilisha ..maana sisi Chelsea tupo kitambo tu uefa na msimu ujao tunarudi kwa kasi ya ajabu ..
 
Back
Top Bottom