OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahahahaha pambana na litimu lako broo ..hata uko watatolewaa...
Ila fight unaeza kuta unaingia fainali..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha pambana na litimu lako broo ..hata uko watatolewaa...
Uyo kitambo tu ana chuki binafsi na King Messi..Kwahiyo wewe unategemea barca itaruhusu tena makosa?
Yaani wabwabwaji bwana.. Unasema mwenyewe tuache ushabiki lkn nakuona ukiingia kwenye chuki binafsi na barca pamoja na messi.
Huna lingine zaidi ya chuki.
haha hahahahahahahahahahaaaSiku hizi mpira umevamiwa na wavuta bangi kila mtu amekuwa mchambuzi ...........Mkuu Radika tunakuhitaji huku.
Sasa nadhani in utabiri uchwara by 50%
Influence ya SAF nshaanza kuiona.
Ni kigezo gani kilitumika kumuachia Blind na kumuacha Young ndani ya MUFC?
Ndio maajabu ya Jones ma Smalling kupewa mikataba haraka huku Herrera akiwa hajui hatma yake.
Ole ana imani kubwa sana na wachezaji wa kiingereza,kushindwa kwake kutaanzia hapo.
At the wheel ...... Sio on the wheelNadhani tumemuona Pochettino........na Ole on the wheel
Sent from my iPhone using JamiiForums
Now this quote have surfaced to reality "If you cant beat them join them"
Mkuu, japokuwa team ina average player. Uamuzi wa kumfukuza Mou ulikuwa sahihi kabisa alileta mpasuko mkubwa sana ndan ya klabu, kiufupi alishafail.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli.Martial analipwa £200k kwa wiki alafu Son anapata £140k tena hapo ndo kaboreshewa.
Eriksen analipwa £75k huku Dele Ali akipata £55k kwa wiki wakati Jesse Lingard anapewa £100k pale United huu ni upumbavu.
Kieran Trippier £44k alaf Ashley Young £110k wakati huo huo Criss Smalling anakula £120+ kule Jan Vertonghen anapewa £100k. Bila kusahau Phil Jones £100k alaf jembe Toby Alderweireld anakunja £80k.
United inatia hasira sana alaf hao wachezaji wanaolipwa mishahara hyo wakiwa hawastahili wanavimba hao utafikiri wanajua mpira wenyewe
Atakuwa radikaKuna swaiba wangu humu kitambo simuoni, kama upo jitokeze ndugu yangu...nimekumiss sanaa