Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unanifurahisha aseee

Bora tupotee wote tu united na liver

Sisi tumeshafufuka, tukikosa EPL tuna UEFA, tunahitaji uwepo wenu, maana shangwe ya North West Derby huwa inanoga sote tukiwa kwenye peak.

Halafu sasa inabidi tukutane UEFA, mfano mwaka huu mngekuwa vizuri kumtoa Barca, ingekuwa burdani sana.

Jitahidini aisee.
 
Hahahah dah!
 
Bado msimamo uko kwa man shit washinde

Kama nilivyoandika huko juu...chuki kwa liver imezidi upendo kwa united

Kesho mkishinda itawapa confidence zaidi, hao Everton ni majirani zangu wasumbufu sumbufu sana, ila nitawaombea ushindi.

Baada ya hapo mtajitathmini kuhusu Jumatano.
 
Unavyoandika naimagine uko unaongea!

Mechi ya kesho tu tunaweza kufungwa!kiufupi hakuna jipya united ni vile tu nimeamua kustay loyal na team yangu

Kuhusu jumatano tutake tusitake tunafungwa...inauma ila ni ukweli kwamba tuko hovyo
 
Naelewa, hata mimi natumaini ya ninyi kumsimamisha City siyaoni.

Ila competitions za watani huwa zina mambo usiyoyatarajia. Hilo ndilo pekee nategemea, mlinde pride ya OT.
 
joanah hivi unajua umuhimu wa ninyi kucheza UEFA?

Kama hamchezi UEFA hata wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa hapo, na hao mlionao watatafuta pa kwenda.

Jitahidini aisee.
Mechi na Man City tutatafuta ushindi, najua siyo njia yenu Liverpool kuchukua ndoo kwani kesho mnakufa kwa Cardiff City. Cardiff amegoma kushuka daraja.
 
Back
Top Bottom